- Thread starter
- #21
Hapo alikosea Magu.Nani azifute wakati wanakusanya kodi tena nyingi si kidogo.
Magu alifunga hadi bereau lakini si kampuni za kubet
Atokee kiongozi azifute, maana mbali na Kodi kiduchu wanazopokea, pesa nyingi, JASHO la Watz linaenda ulaya.
Sisi vijana wanabaki katika lindi kubwa la Umaskini.