Hai: Wasiojulikana wavunja Kanisa na kuiba sadaka milioni 3

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,045
49,728
Wasiojulikana wavunja, kuiba sadaka

Watu wasiojulikana wamevunja ofisi ya mhasibu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Nronga, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro na kuiba fedha zaidi ya Sh3 milioni za sadaka na Kompyuta mpakato yenye thamani ya Sh780, 000.

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Januari 8, 2024, na uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea.

=========

My Take: Mbowe amekuwa Mbunge wa Jimbo Hilo Kwa miaka Mingi ,na Kwa Tabia za Utapeli za Chadema sishangai kilichotokea 😁😁
 
Hebu tuwe serious, kama siyo uhuni ni nini, hivi hayo ndiyo makufuli ya kutunzia million 3 kweli? Au na hili lawama anapewa ibilisi

Screenshot_20240110_142003_Samsung Internet.jpg
 
Dah! We mzee katika hili mpumzishe Mbowe na chama chake. Wao wame-specialize kwenye kutafuna ruzuku na michango ya nyumbu ila sio kuvunja kanisa.
 
Back
Top Bottom