Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob

Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la Hai, Mwenyekiti Freeman Mbowe aliondoa Mawakala wake wa Chadema ktk Jimbo la Hai,Saa 3 Asubuhi katika Vituo Vyote Vya Kupiga na kuhesabu kura.

Na hatua Iliyofuata ilikuwa ni kutawanya Kambi yake ya Uchaguzi iliyokuwa Aishi Machame,Watu warejee majumbani na Kwenye majukumu yao.

Basi bhanaaa,Kijana mmoja aitwaye Junior ambaye alikuwa ni Dereva katika Kampeni za Mbowe Ktk Jimbo la Hai, alipangiwa Jukumu la kupeleka gari aina ya Land Rover Defender TDI gereji Arusha ambayo Siku moja wakiwa kwenye Kampeni waliikuta ina Dalili ya Kuwekewa chumvi kwenye Injini.

Basi Junior akafanya kama alivyo elekezwa. Akachukua gari nzima nyingine Ford Ranger nyeupe aweze kuvuta Land Rover Defender TDI kwenda gereji huko Arusha.

Akamchukua Kijana Mwengine wa Chadema apande kwenye Land Rover kwa ajili Kusaidia inapokuwa inavutwa Barabarani.

Basi Junior na Mwenzie walipokuwa Wanatoka na Magari yanayovutana Aishi Machame Kushika njia kuu ya Kwenda Arusha, Pale maeneo ya Mashine Tools wakapishana na msafara wa Mkuu wa Wilaya,Si Mwingine ni Jenerali Ole Sabaya.

Wakaogopa Kidogo lakini ule Msafara uliwapita kwa Kasi. Junior na Mwenzie waliendelea Kujikongoja kwa Kuvutana wakielekea Arusha.

Walipofika nje Kidogo ya Mji wa kwa Sadala, Sehemu inaitwa kwa Wauza Mboga, Zilikuja gari mbili za Landcruiser Hardtop kama wanazo tumia Polisi zikiwa na namba za nje ya Nchi Walishuka watu wenye Bunduki.

Junior na mwenzie Wakapandishwa katika zile Landcruiser Hardtop zilizokuwa na Watu wenye Silaha Kwa Vipigo Vikubwa.

Wakiwa ndani ya ile gari ya Watekaji wao, Walishuhudia watekaji Wengine Wakipanda zile Gari na Kuzivuta Kurudi Boma Ng'ombe. Wao wakapigwa Vitambaa Usoni wasione.

Junior na Mwenzie Walikuja Kuvuliwa Vitambaa ndani ya fensi ya Mkuu wa Wilaya,Jenerali Ole Sabaya.

Waliteswa na Kupigwa sana hadi Majira ya Jioni ya Saa 12,Walitolewa wakaenda Kutelekezwa palepale walipochukuliwa Mwanzo.

Hatua yao ya Kwanza ilikuwa kwenda Polisi Kuripoti kwa OCD. Junior na Mwenzie walipokuwa Kituoni Kutoa Maelezo Polisi (OCD), alikana Kuhusika na tukio hilo Kabisa.

Lakini pale polisi wakiwa wanaongea na OCD, OCD alitaarifiwa kuwa Magari wanayo ya tafuta Junior na mwenzie yameonekana Maeneo ya nje ya Mji wa Sadala.

Junior,Mwenzie na baadhi ya Polisi walienda Kuyatambua Magari
lakini kwa bahati mbaya walikuta Yameibiwa matari mapya wakaweka ya zamani,Taa za Magari,Redio zote ziliibiwa.

Injini zote waliweka maji na chumvi sehemu ya Oil ili yafe kabisa.
Wale Polisi wakaondoka Wakamuacha Junior na Mwenzie

Gari zote mbili ambazo ni mali za Mbowe zilikuwa zimeharibika Vibaya Sana

Hakuna Kesi Iliyoendele pale Kituo cha Polisi Wilaya ya Hai wala Hakuna aliye kamatwa na Polisi kuhusika na makosa hayo.

Ford Ranger Mpaka sasa haijafanikiwa Kupona,lakini ile Land rover imerudi Barabarani.
Ole sabaya achomwe sindano ya sumu huko jela
 
Hao Watu walikuwa wanajulikana, Kichwa cha habari yako umekiandika ki CHAWA CHAWA, Majambazi ya Hai yote yanajulikana yalikuwa watu wa SABAYA.
 
Kwan katukana mzazi wake au mzazi wako??

... Kwa anayeshabikia uovu wa sabaya au ule wa dictator JPM the devil ni heri mzazi wake angelipiga hilo bao ndani ya kondomu au kulipiga hilo bao through masterbation huko chooni kuliko kumzaa huyo shetani
Hakuna anayeshabikia, nilichouliza mimi ni kwani moshi hakuna gereji mpaka wapeleke arusha?
Sasa hapo kosa liko wapi?
 
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob

Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la Hai, Mwenyekiti Freeman Mbowe aliondoa Mawakala wake wa Chadema ktk Jimbo la Hai,Saa 3 Asubuhi katika Vituo Vyote Vya Kupiga na kuhesabu kura.

Na hatua Iliyofuata ilikuwa ni kutawanya Kambi yake ya Uchaguzi iliyokuwa Aishi Machame,Watu warejee majumbani na Kwenye majukumu yao.

Basi bhanaaa,Kijana mmoja aitwaye Junior ambaye alikuwa ni Dereva katika Kampeni za Mbowe Ktk Jimbo la Hai, alipangiwa Jukumu la kupeleka gari aina ya Land Rover Defender TDI gereji Arusha ambayo Siku moja wakiwa kwenye Kampeni waliikuta ina Dalili ya Kuwekewa chumvi kwenye Injini.

Basi Junior akafanya kama alivyo elekezwa. Akachukua gari nzima nyingine Ford Ranger nyeupe aweze kuvuta Land Rover Defender TDI kwenda gereji huko Arusha.

Akamchukua Kijana Mwengine wa Chadema apande kwenye Land Rover kwa ajili Kusaidia inapokuwa inavutwa Barabarani.

Basi Junior na Mwenzie walipokuwa Wanatoka na Magari yanayovutana Aishi Machame Kushika njia kuu ya Kwenda Arusha, Pale maeneo ya Mashine Tools wakapishana na msafara wa Mkuu wa Wilaya,Si Mwingine ni Jenerali Ole Sabaya.

Wakaogopa Kidogo lakini ule Msafara uliwapita kwa Kasi. Junior na Mwenzie waliendelea Kujikongoja kwa Kuvutana wakielekea Arusha.

Walipofika nje Kidogo ya Mji wa kwa Sadala, Sehemu inaitwa kwa Wauza Mboga, Zilikuja gari mbili za Landcruiser Hardtop kama wanazo tumia Polisi zikiwa na namba za nje ya Nchi Walishuka watu wenye Bunduki.

Junior na mwenzie Wakapandishwa katika zile Landcruiser Hardtop zilizokuwa na Watu wenye Silaha Kwa Vipigo Vikubwa.

Wakiwa ndani ya ile gari ya Watekaji wao, Walishuhudia watekaji Wengine Wakipanda zile Gari na Kuzivuta Kurudi Boma Ng'ombe. Wao wakapigwa Vitambaa Usoni wasione.

Junior na Mwenzie Walikuja Kuvuliwa Vitambaa ndani ya fensi ya Mkuu wa Wilaya,Jenerali Ole Sabaya.

Waliteswa na Kupigwa sana hadi Majira ya Jioni ya Saa 12,Walitolewa wakaenda Kutelekezwa palepale walipochukuliwa Mwanzo.

Hatua yao ya Kwanza ilikuwa kwenda Polisi Kuripoti kwa OCD. Junior na Mwenzie walipokuwa Kituoni Kutoa Maelezo Polisi (OCD), alikana Kuhusika na tukio hilo Kabisa.

Lakini pale polisi wakiwa wanaongea na OCD, OCD alitaarifiwa kuwa Magari wanayo ya tafuta Junior na mwenzie yameonekana Maeneo ya nje ya Mji wa Sadala.

Junior,Mwenzie na baadhi ya Polisi walienda Kuyatambua Magari
lakini kwa bahati mbaya walikuta Yameibiwa matari mapya wakaweka ya zamani,Taa za Magari,Redio zote ziliibiwa.

Injini zote waliweka maji na chumvi sehemu ya Oil ili yafe kabisa.
Wale Polisi wakaondoka Wakamuacha Junior na Mwenzie

Gari zote mbili ambazo ni mali za Mbowe zilikuwa zimeharibika Vibaya Sana

Hakuna Kesi Iliyoendele pale Kituo cha Polisi Wilaya ya Hai wala Hakuna aliye kamatwa na Polisi kuhusika na makosa hayo.

Ford Ranger Mpaka sasa haijafanikiwa Kupona,lakini ile Land rover imerudi Barabarani.
Anayekanusha hili aje na facts
 
1. Aliharibu mfumo wa ajira kwa kuingilia mzunguko wa hela

2. Alifilisi mifuko ya hifadhi ya Jamii kwaajili ya miradi yake ambayo kwa sasa sehemu kubwa ni white elephants Projects.

3. Aliikataa chanjo ya covid, Ndugu zetu wengi walipotea kwa sababu ya mshamba mmoja

4. Alikuza ukabila na ukanda kwa kujaza kabila lake serikalini

5. Alikuwa katili na mpenda dhulma huku akijinasibu kuwa mpenz wa Mungu!

Lakini ukuu na uwezo wa Mungu wetu ulianza kujidhihirisha tangu enzi za safari ya Waebranina kutoka Misri kuelekea kanaani. Glory be to our God, the most high.
 
Back
Top Bottom