Mbona Mwalimu wangu wa history alikuwa amemaliza degree lakin luga alikuwa hajui lakin tulipasua A na B tupu kwenye somo lake nakumbuka Mwalimu huyu alikuwa mdada aliwahi kumuuliza mwanafunzi swali yule mwanafunzi akawa halijui akasema you Jessica I askingi you ze kwesheni but you sit down like the pumpkin in the garden halafu alikuwa Ni muha hivo aliitoa kilafudhi ya kiha basis ililuwa raha yule Mwalimu akiongea kingereza tulikuwa tunafurah sana