Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Hii nayo kali hakika. Mbona aliyewahi kuwa naibu waziri wa elimu aliwahi kusema: Niko very care. I am very care when I speak with teachers.

hahahaha! umeona eeh? ile ya mulugo kusema tanzania ni muungano kati ya zanzibar na zimbabwe ndio ilikuwa kali zaidi.
 
Hii ndiyo hali ya elimu yetu Tanzania.Siku moja na mimi niliwasikia watangazaji wawili kwenye radio station fulani hapa nchini wakiendesha kipindi kwa kiingereza.My God, the sentences they were making were not sentences but a mere collection of words!Nikajiuliza,hivi huyo owner wa hiyo station haoni kwamba ni aibu hata kwake yeye mwenyewe binafsi kwa vijana wale kuwa on air na kimombo kile?Lakini nika-conclude kwamba labda yeye mwenyewe hajui kwamba hawajui,otherwise asingewaruhusu kuwa on air.Hiyo ndio Tanzania,aibu tupu.

hii ndiyo hali halisi tuliyo nayo hapa nchini. kila mahali ni ukanjanjakanjanja tu hakuna jipya.
 
mtoa mada hebu tufafanulie vzr! huyo mwl alikuwa anafundisha jiografia, lugha au lugha kupitia somo la jiografia! ngoja nikupe ushaur wa bure! unapoongea hii lugha ya watu usifungwe sana na kanuni! kumbuka hii ni lg ya kigeni kiswahili lg tuliozaliwa nayo tu inatushinda sembuse??????
 
ndugu zangu,hapa ndipo sisi watu wa BONGOLALALAND tunapokosea kwa kujifurahisha ati nikosa dogo tu.na haya ndo yaliotufikisha elimu yetu kuwa questionable.kama mwl mmoja akifanikiwa kupotosha vijana 45 waz de end result?ok let's opt 4 kiswahili if we dare!
 
Kingereza ni lugha yake ya pili. Tukiachilia mbali maswala ya lugha je ufanisi na utendaji wake vipi?
 
mkuu mamalao mwalimu huyu ni mhitimu wa chuo kikuu na alikuwa anafundisha somo la jiografia kidato cha kwanza. kumbuka kwamba lugha ya kufundishia sekondari ni kiingereza. kwa msomi wa chuo kikuu kushindwa kuunda sentensi fupi na rahisi kama hii ni fedheha sana kwa wasomi wetu na ni kiashiria tosha kwamba kuna tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu. hata kama lugha hii ni ya kigeni, haikubaliki kwa mhitimu wa chuo kikuu kushindwa kuongea kiingereza fasaha. kuna tatizo mahali, sio bure!!
 
Last edited by a moderator:
Kingereza ni lugha yake ya pili. Tukiachilia mbali maswala ya lugha je ufanisi na utendaji wake vipi?

mkuu, ufanisi na utendaji upi tena zaidi ya huo anaowapotosha wanafunzi wake kwa kuwalisha matango pori?
 
ndugu zangu,hapa ndipo sisi watu wa BONGOLALALAND tunapokosea kwa kujifurahisha ati nikosa dogo tu.na haya ndo yaliotufikisha elimu yetu kuwa questionable.kama mwl mmoja akifanikiwa kupotosha vijana 45 waz de end result?ok let's opt 4 kiswahili if we dare!

mkuu chikwilya umeongea jambo la msingi sana. upotoshaji huu wanaolishwa watoto wetu ni hatari sana kwa ustawi wa taifa la kesho.
 
Last edited by a moderator:
Ifikie mahali tuweke kando mambo ya kuangalia vyeti, hii hufanya hata walio na ujuzi kuogopa onesha ujuzi wao kisa tu hawana vyeti. Kwenye vyeti kuna mengi yamejificha ikiwemo kuiba mitihani, kuigilizia kwa mwenzako, kuingia na majibu, kuhonga ili ufaulu, kufaulu ili fulani afurahie, kufaulu ili uonekane na wakati hujaelewa chochote kile
 
Nilichofahamu kwa mleta uzi ni kutaka tu ku generalize kuwa waalimu wa kata hawajui, na kujiona yupo vizur, ila lazma afahamu kuwa kukosea ni sehemu ya maisha ya mtu na ukizingatia Kiingereza huenda ikawa lugha ya tatu ya huyo ticha, i mean, kama yeye ni mmanyema ,baasi atakuwa na kimanyem as the first language, Kiswahili as the second language na English as the third language and language of instruction, so si lugha ambayo atakuwa anazungumza frequent, na kwa maana hiyo hawezi kuwa fluent, na pia lazma ujue kuwa watu wana history tofauti tofaut, humjui maskini alikopitia, usidhan kila mtu umuonaye ni wa MBOGA NANE NA UGALI KITENESI,
LASTLY mleta uzi huenda akawa ni MHAYA
 
mkuu Heron kama utakuwa umefuatilia vizuri mada hii utagundua kwamba lengo langu ni kuonyesha jinsi ambavyo wanasiasa wamefanikiwa kuiharibu elimu yetu na hatimaye elimu hiyo kurithishwa kwa watoto wa makabwela waliorundikana kwenye shule hizi za kipuuzi zinazoitwa shule za kata.
 
Last edited by a moderator:
mkuu, ufanisi na utendaji upi tena zaidi ya huo anaowapotosha wanafunzi wake kwa kuwalisha matango pori?

Kuna maeneo/nchi watu hawajui kingereza kabisa lakini ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na elimu kubwa na maendeleo makubwa. Mpaka ukitaka kujiunga kwenye vyuo vyao wanasema ni lazima ujifunze lugha yao kwanza ambayo siyo kingereza.
 
mkuu Heron kama utakuwa umefuatilia vizuri mada hii utagundua kwamba lengo langu ni kuonyesha jinsi ambavyo wanasiasa wamefanikiwa kuiharibu elimu yetu na hatimaye elimu hiyo kurithishwa kwa watoto wa makabwela waliorundikana kwenye shule hizi za kipuuzi zinazoitwa shule za kata.

Nimekusoma, though watu wengi hawakufahamu lengo lako mimi nikiwa mmoja wapo, ndio maana umepata critism nyingi, am sorry anyway!
 
Last edited by a moderator:
Kuna maeneo/nchi watu hawajui kingereza kabisa lakini ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na elimu kubwa na maendeleo makubwa. Mpaka ukitaka kujiunga kwenye vyuo vyao wanasema ni lazima ujifunze lugha yao kwanza ambayo siyo kingereza.

Baasi, kwa maneno yako mkuu, hayo mapungufu yetu kuhusu elimu yetu na wahitimu kufaulu darasani lakni ukiwaweka kwenye utendaji kazi na ushindani katka soko la ajira wanawekwa bench...hilo kwako si tatzo ni kwa kuwa nchi yako kimaendeleo inasongesha, na wageni wajao nchini mwako wanaku-respect kwa viwango. Uongo man???

Ndo maana mnalia na ajira serikalini tu..., secta binafsi utaenda uthubutu unao??? Unaingia na vyeti full mkoba, ukiongeleshwa unaanza ze Ze ze Ze ze Aiem aiem.....what??? Waganda, Wakenya, Warundi wana-take pozi kwa ofisi ya nchi yako, coz utaitia hasara taasis binafsi husika. Nyiny wa ze Ze ZE ze aiem subirin waheshimiwa wastaafu, wafe, wafukuzwe kazi ndo na ninyi mchukue ajira. INAKUPENDEZA HII??? Maana kweny ofisi za serikali hata ukilala..mshahara utaingia. NGO'S NEEDS A REAL AND SHARP PERSON TO SIT ON A SIT.

Hata ivo hatugombani hapa...ila tunagongana kifikra tu mkuu wangu. Hivyo ndivyo nionavyo, na wengne wanaona kivingine....ni haki yao. TUWE NA AMANI BOB. Peace an luv!!!
 
Siongoei kwa ubaya. Ila asilimia kubwa (Siyo wote) ya wanaopitia kwenye shule za serikali tu mwanzo mwisho wanaishia kwenye kazi ndogo ndogo za serikali. Asilimia kubwa ya wanaopitia kwenye shule binafsi (Siyo wote), wachache sana utawakuta serikalini, wengi wao wapo sekta binafsi na vyeo vikubwa sana. Au wakiwa serikalini basi wana vyeo vikubwa. Ni mfumo tu wa elimu ulivyo.
 
Yap! Hapo ndipo peny jibu muafaka. Serkali kupitia shule zake haifui dafu kwa private school. Private school wako sharp na wanamudu competition world wide....gvt school-graduate wao ni wapole...wanamudu kucheza kombolela(wanalia na hom yao). HAWA NDIO MAKABWELA....sio matusi ila ndo uhalisia wenyewe. Na kama ulivofafanua mkuu hapo juu, uko sahihi.
 
Ukitaka kumkosoa akiyekosea ni Lazima uoneshe kosa na urekebishe.. Sasa we unasema amekosea afu huoneshi... Watu bwana. Mbona wachina Badala ya kusema kisima akasema, ki.....*.. makofi mnapiga..
 
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.

Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata.

Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED?

Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.

Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake?

Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?

Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!

Kwan ulitaka asemaje?
 
Back
Top Bottom