Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

sawa mkuu..umekuwa mwepesi wa kutoa maneno ya kashfa. nadhani hujazoea kupata mawazo kinzani.. AHSANTE MIMI NI NYUMBU...
...as i have observed most of your responses concerning this particular topic, sure thing we will never get a productive conclusion..
............ kama haya maneno yako sawa.. sorry kiongozi ..my bad
*kosa la kisarufi/makosa ya kisarufi
*kosa la sarufi/makosa ya sarufi.
..NIMEKOMA MKUU usije ukaniongeza mengine

du, kumbe hata kiswahili ni kigumu hivi? mkuu nimesema hivi: "usiwe KAMA nyumbu. sijasema: "wewe NI nyumbu. umeona tofauti mkuu? je, nikisema wewe ni mjanja KAMA sungura, nitakuwa nimemaanisha kwamba wewe NI sungura? au kwamba wewe ni muoga KAMA fisi nitakuwa nimekuambia wewe NI fisi? la hasha!

tuendelee kujadiliana mkuu.
 
Lenyewe halijielewi hilo yeye anacheo gani kwanza?

weka vituo kwenye sentenso yako basi. cheo kinahusianaje na uelewa wa mambo? ina maana JK ana uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa kuwa ana cheo kikubwa kuliko watanzania wote? shame on you! nenda ukojoe ukalale, jumatatu shule zinafunguliwa urudi shule.
 
Point yako ni ipi hapa? issue ni graduate teacher asiyejua kiingereza au shule ya sekondari ya kata? Au graduate aliyepitia shule ya kata? Mimi naona issue hiko kwa huyo mwalimu mwenye degree, kwani anaweza kuajiliwa ata kwenye private schools. Hivyo issue kubwa ni UDSM na kukosa juhudi binafsi. Pia je, sehemu yako ya ubongo ya kusikia ipo vizuri? Maanake pia watu mara nyingine usikia vibaya ndipo watu wanawaomba warudie!

Halafu kama wewe unakijua kiingereza basi weka post yako hii yote kwa kiingereza!!! Maanake isijekuwa 'nyani haoni sehemu yake anayotumia kukaa'.

sijakuelewa vizuri mkuu Mwanamayu. hebu iweke vizuri hoja yako ili nikujibu. ama uliza hoja moja kwa wakati mmoja bila kuchanganyachanganya nipate kukuelewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
inaelekea yy ni muuza mihogo maarufu hapo shule, wkt akiwa anatengeneza chachandu yake ndio akamsikia huyo mwl.

msameheni bure mzee wa watu jmn

hahahaha! mkuu SUZANE unaona jinsi watu wanavyotetea makosa? hivi wanataka wanafunzi wakaririshwe makosa mpaka lini? hebu nisaidie kutoa darasa kwa wadau mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Halafu kama wewe bwana #tpaul ni great thinker lazima ungetoa mapendekezo ya kutatua shida hiyo badala ya kulalama. Halafu inaonekana kama vile huyo mwalimu ni office mate wako na amekuzidi kielimu!

mkuu, pitia hoja zangu zote...kuna pendekezo nimelitoa humu kama ifuatavyo:

sababu: walimu kama huyu ninayomuongelea ni matunda ya mfumo mbovu wa elimu unaorutubishwa na serikali hii dhaifu na kengeufu.

suluhisho: tuhakikishe tunaifumua serikali yote mwezi wa oktoba na kuweka serikali mbadala.

nini kifanyike?: jiandikisheni kwa wingi kwenye daftari la wapigakura na mjitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura tusaidiane kuuondoa huu utawala kanyaboya madarakani.
 
acha umbea ungekua ww ndo unaweza we ndo ungeajiliwa!!pamoja na huko kujiona unaweza bado sirikali haikutambui
 
hili unalolisema halihusiani na mada iliyopo hewani. kuna tofauti kubwa kati ya typing error na grammar error. huyo mwalimu alisikika akiongea, sio KUANDIKA. umeelewa? mtu asiyeoga mwili lakini anafua nguo zake huwezi kumfananisha na mtu anayeoga lakini hafui nguo. hawa ni watu wawili tofauti. kwa hiyo, kuchapia spelling hakuwezi kuwa sawa na kuchapia grammar. umeona eeh? una hoja lakini bado hujaijenga vizuri.

Mwisho wa siku wote "WACHAFU KUNUKA"
 
unazidi kunichanganya... wewe hata kiswahili hukijui... title yako umeandika neno "SIKIA" nikajua nakuja kukutana na audio... hilo nalo ni typing error?

Teheheheheehehe Jf ina wehu, sikuwahi wazua kama nitakuja kucheka ndani ya "Uzi" huu.
 
weka vituo kwenye sentenso yako basi. cheo kinahusianaje na uelewa wa mambo? ina maana JK ana uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa kuwa ana cheo kikubwa kuliko watanzania wote? shame on you! nenda ukojoe ukalale, jumatatu shule zinafunguliwa urudi shule.

Na wewe ukumbuke matumizi sahihi ya kuanza herufi kubwa, hasa baada ya kituo.
 
Wewe itakuwa unatabia ya umbea...unataka nini kwa mwalimu? Kama huna kazi njoo nikuajiri katika kampuni ili upokee angalau kama huyo mwl. Acha husda!
 
Na wewe unasifia husichokijua ni "jeografia"
Nipo makini kuliko ufikiriavyo. Na, nitaendelea kumsifu Mleta Hoja; kwani lengo lake ni jema- tofauti kabisa na wengi humu wafikirivyo. Nime/nitawasifu wengine wote ambao michango yao katika hoja hii ime/itakusudia kujenga na si kutukana. Tunapaswa kuwa watu wa kukubali kujifunza; maana ubora wetu katika jambo unategemea sana bidii yetu katika kujifunza. Kwa mfano: kwa asiyejua, hawezi akaelewa kwanini nimeandika ‘Mleta Hoja' na sijaandika ‘mleta hoja'
 
hahahaha! mkuu SUZANE unaona jinsi watu wanavyotetea makosa? hivi wanataka wanafunzi wakaririshwe makosa mpaka lini? hebu nisaidie kutoa darasa kwa wadau mkuu.

mie ndukiiiiii
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE=tpaul;125497tpaul ,makosa ni makosa typing errors kwa msomi makin kama ww tunatiashaka na unakopata elimu yako.
 
duuuh.......

Nimesoma maoni mengi ya watu humu na kubaki nashangaa tu,kweli watanzania ubongo umejaa mavi na funza,hata kama English ni lugha ya kigeni mwalimu hatakiwi aongee broken,ni upuuzi wa hali ya juu kumshangaa mtoa mada,ndo maana akaitwa mwalimu,kwamba he should be competent in relevant matters,sisi watanzania ni mavilaza kuliko africa nzima.Ndo maana nakutana na vijana wengi akili imelala kabisa ana milioni moja mfukoni eti anatafuta kuhonga apate kazi badala aizalishe,rejea kauli ya Mkapa,watanzania ni wavivu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom