We can not speak as native speakers.Mi sioni ajabu huyo mwalimu cha msingi wanafunzi wameelewa na kama hawajaelewa msisitizo utawekwa kwa kiswahili.Mwalimu mwenyewe katoka kwenye mfumo huo huo wa kiswahili as a medium of instruction kwa miaka saba ulitegemea nini hapo.
Sawa kabisa. Si vema kumlaumu. Mimi sina elimu ya chuo kikuu, lakini kwa miaka niliyosoma, wapo wenye digrii wengi tu nawatoa KO kwa Kiingereza wakiwamo wanangu ambao nawasahihisha kila siku. Wamefika chuo kikuu. mimi na form six yangu nawaelekeza. Mfumo umebadilika sana. Kiswahili chenyewe ni shida, itakuwa Kiingereza?