Giambatista Vico
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 357
- 121
mwalimu : where were you?
mw/funzi: sweeping you.
it is a real information.
mw/funzi: sweeping you.
it is a real information.
We ulitaka asemeje we ulisome shule za pesa na walimu wakutosha mwenzio kakariri coz alikuwa hana walimu wa kutosha kukariri ndo usiseme akirudi home aende kuchunga mbuzi saa mbili akachote maji na makazi kibao asubuhi afagie uwanja apikie wazazi wake chai ili wakiamka wanywe waende kushinda kwa vibarua wewe ulikuwa unafuliwa na hgirl unapikiwa unasoma kwa umeme we acha tu .HUNA LOLOTE WEWE NI UJINGAUJINGA TU BY THE WAY IM SORRY
acha umbea ungekua ww ndo unaweza we ndo ungeajiliwa!!pamoja na huko kujiona unaweza bado sirikali haikutambui
Jamaa alishakuja hapa na story ya kwenda kumtembelea jamaa yake chuo kikuu akakuta watu wanaangalia porno akaponda eti badala ya kusoma wanaangalia mambo yetu.
Sasa na hii ya huyu ticha kisa amemaliza chuo kikuu kakosea ngeli jamaa anachonga.
Ninahisi jamaa kinamuuma sana kushindwa kwenda chuo kikuu ndo maana kila mara anakuwa anawatafutia kasoro watu qa chuo kikuu.
Hii lugha sio yetu, ukimsikiliza rais wa nchi mwenyewe gramar zinanchomoa pamoja na kuwa amesoma, amekaa wizara ya mambo ya nje, ulaya na US anaenda kama vile mimi navyoenda Ubungo Posta na ni Rais lakini bado ngeli ni shida.
kwa hiyo wasomi wa chuo kikuu wakifanya makosa wasisahihishwe wala kukemewa au unataka kusema nini?
kwa hiyo wasomi wa chuo kikuu wakifanya makosa wasisahihishwe wala kukemewa au unataka kusema nini?
ndugu zangu hizi shule za CCM (aka shule za kata) ni majanga. leo tena nimeenda kwenye shule hii nikamkuta mwalimu anafundisha somo la mathematics nimebaki kinywa wazi....20% ya mafundisho yake anafundisha kwa kiingereza (tena kibovu) na 80% anafundisha kwa kiswahili. sasa hii imegeuzwa kuwa shule ya msingi sio ya sekondari tena!
Hao wanafunzi kama ni kutoka mikoa ya Pwani, Dodoma au Tanga na mikoa mingine waliokumbatia manyang'au ccm, safi sana. Hongera sana tcha. Hopefully, you are there on mission.
Wakome hao wanafunzi. Wakome wakomae kama gari la Bwana Nkoma lilivyokoma kwenda Nkome kupitia Kome. Vizaliwe vipanya,.. Sorry, vi ccm visivyojua kuongea kimombo.
Mzungu mmoja alikosea kutamka Mburahati akatamka mbolohat. Ila waliomsikiliza wakamwelewa.