geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
weka kilivyotakiwa!
Where is it located?
weka kilivyotakiwa!
Wachina na wajerumani wenye maendeleo makubwa wanajua Kiingereza ?, pili ushasema ni mwl. wa Geography si kosa lake Tatu ww kwa siku Kiswahili lugha yako unachapia mara ngapi ? Nne ; watoto wenu mlokuwa mnawepeleka Kusoma Uganda na Kenya miaka michache ilopita mbona hamuwapeleki baada ya kuona watoto wanaendelea kuwa vilaza Tano Rekebisha ulitaka Mwl. aseme vp.
Kosa dogo sana hilo, we ndo unaonekana una uwezo mdogo wa kufikiri, yaan hata hili ni la kuleta huku?
Muhimu ni contents. Nafikiri kwa swali hili ilieleweka nini anamaanisha. Hilo ni kosa dogo ambalo halibadilishi maana mzima au kusudio husika. English sio lala mama kwa wengi wetu. Kama kiswahili kuna watu waliozaliwa na kuishi bongo na mpaka umri wao bado hawajui tofauti ya R na L sembuse "Kiinglish".
Ulisema somo la JIOGRAFIA, nafikiri amewasilisha lengo, Grama itakuwa kazi ya mwalimu wa Kiinglish
Niliwahi kumsikia mwingine akifundisha F2 geography akasema hivi: the earth rotate in its own axis. It go, it go, it stops. Wakati anasema hivyo na yeye anajizungusha.
Wachina na wajerumani wenye maendeleo makubwa wanajua Kiingereza ?, pili ushasema ni mwl. wa Geography si kosa lake Tatu ww kwa siku Kiswahili lugha yako unachapia mara ngapi ? Nne ; watoto wenu mlokuwa mnawepeleka Kusoma Uganda na Kenya miaka michache ilopita mbona hamuwapeleki baada ya kuona watoto wanaendelea kuwa vilaza Tano Rekebisha ulitaka Mwl. aseme vp.
uko sawa kaka,haujakosea ,sema where does it located? ni kosa kubwa la lugha.nikisema ; ( I m comming tommorrow ) nitakuwa nimekosea ? ninyi ndo mlofundishwa kuwa kuna three types of tenses
Kukosoa ni kudhalilisha?Leta mada za msingi na sio kudhalilisha walimu kijana.