Niliwahi kumsikia mwingine akifundisha F2 geography akasema hivi: the earth rotate in its own axis. It go, it go, it stops. Wakati anasema hivyo na yeye anajizungusha.
Kaka elimu yako ni level gani?
Elimu Ni Ujuzi Siyo Cheti
sasa Kuna mwenyewe Cheti Kizuri Mambo Hayawezi
Huyu jamaa Hata chuo sidhani kama ameenda na kama kaenda atakuwa anasoma UDOM amma SAUT....Sio porno mkuu, alimkuta jamaa akicheza game kwenye laptop ikamuuma mbayaa, anataka jamaa wakamue kitabu 24/7 bila kupumzika. Inawezekana jamaa ana aleji na watu wa UDSM
Huyu jamaa Hata chuo sidhani kama ameenda na kama kaenda atakuwa anasoma UDOM amma SAUT....
Hivi ni kweli haya ni MAAJABU???
unakosoa bila weka correction nawe ndo walewale. na uongo wako ni balaa eti kamaliza udsm juzi juzi na kuajiliwa moja kwa moja je una mana gani? serikali haijaaliz walimu ck za karibuni
Hivi ni kweli haya ni MAAJABU???