tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,180
- 27,779
- Thread starter
- #181
ni "grammatical error" sio grammar error.. (grammatical=kisarufi...grammar=sarufi)
issue yangu ya jana hukunipatia jibu ujanjaujanja umekuwa mwingi..unazogoa wenzako wakati wajua huu ni ugonjwa wa wengi.. JITETEE NA HILI MKUU
haya ndio matatizo ya kukariri. tatizo lako wewe unakariri mno. in meaning terms, GRAMMAR ERROR=GRAMMATICAL ERROR. usikariri kama kasuku mkuu. usiwe kama nyumbu ambao wakiona mwenzao katangulia hata kama anawapeleka shimoni, hung'ang'ania kumfuata nyuma. halafu njia hii unayopitia kwenda kumtetea mwenzako anayepotosha wanafunzi sio sahihi. mtetee kwa namna nyingine.
turudi nyuma kidogo. jana ulisema nilikosea kuandika OBVIOUS BLUNDER. kosa liko wapi? ungekuwa wewe ungeandikaje?