Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Nina mwanafunzi wangu hapa form one naona anajitambua zaidi ya mtoa mada!
 
Sijaiona Lake Secondary ya Magadula R.I.P kuna mdogo wangu alikuwa anasoma pale alinisumbua sana miaka ya 90s.
Na wewe kachovu ka-ccm umesoma shule za Mwanza? Utakuwa mmoja wao wa wale tulikuwa tunawakimbiza miaka hiyo ya '90s nini? Waulize SESECO habari ya GESECO miaka hiyo!!!
 
Nilichaguliwa Sengerema Secondary(SESESCO) nikaipiga chini nikaenda Sengerema Seminary, there after nikasoma Taqwa Secondary. Advance nikasoma Rungwe High School huu ukilaza umenianza leo maana hata sielewi nitamchagua nani kuwa Rais wa Nchi
 
mawazo na uandishi wako unaakisi elimu uliyopata

Swala sio elimu niliyopata swala ni kwamba kuna watu humu inabidi wakubali kwamba they messed up big time. Mtu anasema alikuwa secondary 1980, kuanzia mwaka huo mpaka 2015 ni takribani 35 years plus hiyo aliyokuwa nayo. Naanza kuamini kuwa humu ndani asilimia kubwa ni 45+ years.

Sasa mijitu imeenda umri mibabu kabisa kila siku JF kulia maisha magumu. Hizo kweli shule za VILAZA. mlikuwa wapi wakati wenzenu wanatafuta maisha. Hamjisikii aibu kutwa kutukanana na vijana humu JF. POLENI SANA
 
Ahahahaaaaaaa, Mara Sec. & Musoma Alliance. Unatoka full mwanajeshi.

Watu wanajidadavua humu eti Feza!!! Feza, Marian, St. Francis ni shule za watoto waogopa changamoto za maisha.

Ndiyo sababu vitoto vinavyopita huko vinajifikiria mara 2*2 vinapotakiwa kwenda JKT. Shule unagonga pilau teh teh teh...

Ila dunia imebadilika sana. Hizi shule zilizo kwenye orodha ni shule ambazo ulikuwa ukifaulu kwenda kusoma huko (siyo kuchaguliwa) unajiona ni wa kipekee. Lakini hali ya sasa ni tofauti na wazazi wanaona bora wawapeleke watoto wao shule hizo ambazo zinapigiwa chapuo kuwekwa kwenye orodha.

Tena ajabu ni wale wale wazazi ambao wamepitia katika shule hizi zilizo kwenye orodha hii.

Kwa ambao shule zao hazikuwekwa kwenye orodha wasiumie sana. Mleta uzi anafanya flash back tu ya shule bora za miaka ileeeeee.
 
Mhhhhhhhhh wewe muongo, mbona umesahau Kilosa sec., Tumaini sec., Bagamoyo Sec. na Sengerema Sec.pia ? au wewe ndo kilaza?
 
Swala sio elimu niliyopata swala ni kwamba kuna watu humu inabidi wakubali kwamba they messed up big time. Mtu anasema alikuwa secondary 1980, kuanzia mwaka huo mpaka 2015 ni takribani 35 years plus hiyo aliyokuwa nayo. Naanza kuamini kuwa humu ndani asilimia kubwa ni 45+ years.

Sasa mijitu imeenda umri mibabu kabisa kila siku JF kulia maisha magumu. Hizo kweli shule za VILAZA. mlikuwa wapi wakati wenzenu wanatafuta maisha. Hamjisikii aibu kutwa kutukanana na vijana humu JF. POLENI SANA

Inaonekana hufahamu jf ina watu wa aina gani . Si ajabu baba yako na mama yako wamo humu. Narudia kuwa elimu yako na hoja zako vinafanana. ndio shule zetu za leo mkuu
 
Mtoa mada una umri gani maana kuna wazee wapo vila uko mpaka leo wanajua nyerere yupo hai, sasa usije kuta kichwani mwako bado una hisia zileeeee za unafika shule unapelekwa chooni kuwapigia simu wazazi kuwa umefika salama. Hizo shule nyingi zilishaharibiwa uwezo wake zipo hoi zinapumulia mashine sema zinaishi kwa uzoefu na ukongwe tu
 
Hmmm hapa sina changu kabisa.

Maana shule yangu haipo, hivyo mimi ni kilaza.

Lakini ulitegemea mbeba maboksi awe ni kipanga kweli?
 
Inaonekana hufahamu jf ina watu wa aina gani . Si ajabu baba yako na mama yako wamo humu. Narudia kuwa elimu yako na hoja zako vinafanana. ndio shule zetu za leo mkuu

Wazazi wangu wafuate nini katika mitandao ya vijana kama hii ? Au unafikiri wazazi wangu ni kama hii mibabu ya JF isiyokuwa na kazi za kufanya. Jitu limeenda age hata aibu kutwa linashinda JF Kubishana na vijana wadogo.

Wazee wa zamani wenye busara wako katika Mtandao wa mzee mwenzao JOHN KITIME.

Mijitu mizima huu mda baada ya kukaa kuangalia familia imekazana JF mingine utakuta imetumwa na Mivyama ya Kisiasa kuja kujidhalilisha humu. Badilikeni MAPIMBI NYIE.
 
Back
Top Bottom