Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Pia ugumu wa maisha ya familia zenu ulisababisha mkang'ang'nia hiyo mishule...hamkuwa na namna lazima mzisome tu...
 
Nashangaa cjui anaiachaje NJOSS. Ilikua maarufu sn mkoa wa iringa, Tosa na ifunda zilkua haziifikii Njoss. Km nauona ivi msitu wa ndovu apo nalala dom3 gorofan kabsaa

Njoss ilikua arts ila Tosa na Ifunda science, usi compee
 
Duh umenikumbusha mbali sana.. Mimi ni mzee Complex.. Mazengo.. Msasa alihama kwenda Nsumba then akaja na Mgohamwende..huyu alikuwa powa sana... kwa upande mwingine wa Kaishozi aisee ni balaa... Kaishozi alikuwa mkorofi sana na walikuwa wanaelewana na Msasa.. Msasa na pikipiki yake Honda XL 150 na Kaishozi Landrover Defender... walikuwa wanatisha aisee wakiona mwanafunzi hata kama si wa shule yake halafu analeta upuuzi mtaani anabananishwa

Haaa mzee wa complex,najua umelimiss sana GIMA.
Msasa na ile XL yake ni noma,huyu alitokea Mtwara tech nafikiri.
Kaishozi na Defender lake,enzi hizo ma-defender ndo yanatoka tu.yaani akipita town mwanafunzi yeyote kama ni muda wa masomo afu akudake umekwisha.
Wahuni wote wa Central sec wanamjua huyu jamaa.
 
Nimemiss Gima, Nyuka, Mitaa, vikuyu, Mzee Shedi.. nk.. Mimi nilikuwa nakaa Azimio Room no 1 down..
 
Kama haumo humo jua wewe ulikuwa kilaza. Kwi!

Kwi! Kwi!
Nashukuru kwa kutambua shule yangu
niliyosoma mahala flani na kweli
tuliingia kumi bora katika matokeo ya kidato
cha sita mwaka flani...Thanx a lot , umenikosha sana mtima wange.
 
Naona zinaanza kurudi sasa ,sema najiuliza sipati jibu kweli kuna mabadiliko ndani ya mwaka mmoja au ndio walimu wamejiongeza wasitumbuliwe
 
Back
Top Bottom