Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Ni kilaza hasa, wapi Ndanda secondary, Mtwara technical, Mtwara girls, Masasi girls.

Dah! Mtwara Technical enzi ya Bakari Gembe mkuu wa Shule,Walimu wengine ni Kambona,Ali Manoti Dunia, Ntawimenya, Mwakanyamale,Mabula,Maridadi,Ng'oga.
 
...kaangalie kwenye matokeo ya form six ya mwaka jana au juzi nadhani hakuna hata moja ya hizo kwenye 50 bora. Ilboru ni ya hamsini na tatu na ndo inawaongoza Wa serikalini. Ingawa Mimi nimo katiyazo, hamnamo kitu anymore....

Wamezivuruga, galanos boys oyee TZ kinala, wapi msocha!
 
hizo ulizojita zingekuwa hazitoi Four na Zero.. Naona ungejaa masifa mengi sana asee... Kama kuna 4 na 0.. Jua na huko kuna VILAZA.. Tena wengi tu...Acha kubwabwaja..
 
usisahau na hz
halisi secondary
pugu station secondary
viwege secondary
mbondole secondary
bonyokwa secondary
nyeburu secondary
nguvu mpya secondary
 
Okei, mitaani imekaaje sasa? Je hao watu wametoboa maisha au ndo zile akili za darasani?
 
Ni bora huo muda ungelala akili yako ipate kukomaa maana umedhihirisha ukilaza wako tu
 
Nashangaa cjui anaiachaje NJOSS. Ilikua maarufu sn mkoa wa iringa, Tosa na ifunda zilkua haziifikii Njoss. Km nauona ivi msitu wa ndovu apo nalala dom3 gorofan kabsaa

Teh!teh!teh!,umenikumbusha mbali sana man,Kuna siku kulikuwa na Bonge la Ukaguzi Assemble na Bwenini mimi na jamaa zangu tukakimbilia Ghorofani juu kabisa tukajificha kwenye chumba kimoja kilichokuwa na giza,maarufu km Jehanamu,Ticha wa Nidhamu akatubamba tukapata bonge la adhabu.
 
Siyo kweli!!,Nakumbuka kuna jamaa tulikuwa naye Camp moja A-level pale Njoss mchepuo wa PCB,alikuwa ametokea Ilboru na DIV I:11,PCB akiwa na Pointi 4 lkn Necta ya Form six ilimgaragaza akapata Zero Ya Ishirini.
 
Nsumba ilee... napamis sana milima ya kitintale, mitaa ya chin pale swea maji yakikatika tunadrope pale hyo n tbt 2000/2003
 
Nimepitia moja ya hizi shule ila mmmh! Hoja haina mashiko sana mana naona wengi walopitia hizi shule ndo tuliochangia kuporomoka na kurudi nyuma kwa maendeleo ya hii nchi. Jaribu kufwatilia tuliowapa dhamana ya uongozi wa sehemu mbali mbali wamepitia shule gani? Na walio kwenye ofisi mbali mbali waliopitia hizi shule. Tulikuwa tukifaulu kwa kuogopa adhabu tu za kutesana tumeshindwa kuwa hata wabunifu kwa kukaririshwa! Asilimia kubwa ya wajasiriamali na wawekezaji na wanajitahidi kuinua uchumi wa hii nchi mfano wafanya biashara hata kwenye miti hawakupitia
 
Embu acha izo mwanawane unanikumbusha mkuu mmoja anaitwa Mbanga, nyie acheni bana. Embu lowassa aingie mdarakani aturejeshee mashule dezaini hii maana naskia jamaa kapania kweli..

Ulikuwa Simba, Nyati, Twiga, Tembo au Chui?
 
Katika hizo shule ulizotaja kuna hata moja ada inazidi milioni? Unaipima akili kwa kusoma shule za bei rahisi. Badilisha title ya thread yako IWE KAMA UMESOMA KATIKA SHULE HIZI BASI WEWE NI MASKINI.

Wajanja waliosoma Loyola, Cambridge , St. Marrys, Makongo, Jite ya enzi hizo, St. Anthony ya miaka hiyo, FEZA boys na nyinginezo nyingi.

Hizo shule ulizotaja hakuna chochote cha maana zaidi ya kujifunza kunywa MATAPUTAPU katika umri mdogo.

KIPIMO HALISI: Angalia tuu mlivyojazana humu JF lazima mtakuwa na kasoro tuu. Au MAPIMBI SQUARE

hujui unachoongea kijana, unasoma shule gani? Majina ya hizo shule huwezi linganisha na shule unayosoma nasikia huko mnakula kwa bufee, madarasa yana ac
 
Katika hizo shule ulizotaja kuna hata moja ada inazidi milioni? Unaipima akili kwa kusoma shule za bei rahisi. Badilisha title ya thread yako IWE KAMA UMESOMA KATIKA SHULE HIZI BASI WEWE NI MASKINI.

Wajanja waliosoma Loyola, Cambridge , St. Marrys, Makongo, Jite ya enzi hizo, St. Anthony ya miaka hiyo, FEZA boys na nyinginezo nyingi.

Hizo shule ulizotaja hakuna chochote cha maana zaidi ya kujifunza kunywa MATAPUTAPU katika umri mdogo.

KIPIMO HALISI: Angalia tuu mlivyojazana humu JF lazima mtakuwa na kasoro tuu. Au MAPIMBI SQUARE

Sijui unazungumzia miaka ipi? Ukizungumzia miaka early 2000 kurudi nyuma these schools were the best, na ilikuwa sifa kusoma hizi shule, hizo shule ulizozitaja ilikuwa second option baada ya kukosa nafasi kwenye hizo za serikali na ilikuwa unaesoma hizo unaonekana ni kilaza. Pia unaonekana wewe ni wale watoto wa mama mayaimayai na huna ufahamu wa kutosha, hizo shule za private ulizozitaja zimeibuka lini?
 
Hizo shule ni kwa zaman siku hizi zimechoka ukipeleka mtoto huko tarajia ataondoka na zero,kwamfano;kwiro secondary mwaka huu kwamatokeo ya advance imekuwa ya mwisho kitaifa.Peleka mtoto wako private schools kama unataka apate elimu bora kwasasa,hiyo Azania secondary nayo iko hoi sasa kwani niliwahi kufanya field ya kufundisha pale yaan wanafunz wa pale sasa ni wakawaida sana hawana tofaut na wanafunz wa shule zingine za kat

mkuu ata mimi nimepata kupitia kwiro na same sec miaka ya nyuma kidogo,ila kwiro wamenisikitisha sana,ata lemuTUZ nae atakuwa kasikitika sana kwasababu nae nasikia alisoma Kwiro sec miaka hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom