Shule 20 maarufu Kilimanjaro miaka ya 1980 mpaka 1995

Midumare Ngatuni Iwato

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
1,653
2,038
Karibuni wale waliosoma miaka hii Kilimanjaro

1.Kilimanjaro boys

2.umbwe

3.kibohee

4.Weruweru

5.Ashira Girls

6.Mau semiray.

7.Uru seminary

8.Sant James Seminary

10.old moshi

11.Kibosho girls

12.shauri tanga

13.Kiraeni

14.Mkuu secondary

15.kirua vunjo secondary

16.lyamungo secondary

17.moshi technical

18.Mawezi sendary

19.Nsoo secondary watoto wazuri

20.Majengo secondary

Unakumbuka nini hapa..je ulisoma hapa katika hizi shule karibuni tukumbushane
 
Nilikuwa na kidemu changu Weruweru, hongereni wachaga kwa kunilaisishia kusoma bila shida
 
Karibuni wale waliosoma miaka hii Kilimanjaro

1.Kilimanjaro boys

2.umbwe

3.kibohee

4.Weruweru

5.Ashira Girls

6.Mau semiray.

7.Uru seminary

8.Sant James Seminary

10.old moshi

11.Kibosho girls

12.shauri tanga

13.Kiraeni

14.Mkuu secondary

15.kirua vunjo secondary

16.lyamungo secondary

17.moshi technical

18.Mawezi sendary

19.Nsoo secondary watoto wazuri

20.Majengo secondary

Unakumbuka nini hapa..je ulisoma hapa katika hizi shule karibuni tukumbushane
Lyamungo chama la wana oyeeeee
 
Moshi Technical ya Mpande ilikuwa ndo shule bora kuriko zote kuanzia kimchezo hadi kitaaluma,na madem zetu weruweru walitupenda sana, wale mliosoma Enzi za T.M.O na E.M.O enzi hizo MTEI EXPRESS
inabeba abiria na mbuzi, kuku na mabegi juu kwenye carrier , noma sana nilikuwa katibu Wa safari za mob
 
Sema Mpax...hahaha hivi alikua ni mwalimu wa somo gani vile?
 
Moshi Technical ya Mpande ilikuwa ndo shule bora kuriko zote kuanzia kimchezo hadi kitaaluma,na madem zetu weruweru walitupenda sana, wale mliosoma Enzi za T.M.O na E.M.O enzi hizo MTEI EXPRESS
inabeba abiria na mbuzi, kuku na mabegi juu kwenye carrier , noma sana nilikuwa katibu Wa safari za mob
Moshi Tech academically,ilikuwa nyuma ya Old Moshi Sec. Pale kwa O- level,F.4 karibia robo tatu ya darasa wanamaliza na Div. 1. Pia kimichezo hasa boxing ilikuwa juu,ikiwacharaza CCP, Co-op college nk ( kulikuwa na boxing club iliyoanzishwa enzi za Emanuel Mlundwa). Old Moshi kulikuwa na facilities nyingi za michezo kuanzia viwanja vya mpira wa miguu, volleybal, nk. Nakumbuka kwenye 80's, waalimu wa Kirusi walikuwa kibao kuanzia O hado A- level. Kina Schevchenko,nk. Big up Old Moshi.
 
Moshi Technical ya Mpande ilikuwa ndo shule bora kuriko zote kuanzia kimchezo hadi kitaaluma,na madem zetu weruweru walitupenda sana, wale mliosoma Enzi za T.M.O na E.M.O enzi hizo MTEI EXPRESS
inabeba abiria na mbuzi, kuku na mabegi juu kwenye carrier , noma sana nilikuwa katibu Wa safari za mob
Chief kumbe ulipita pale ?? Daah mpande mzee wa mchaka mchaka ...daah
 
Moshi Technical ya Mpande ilikuwa ndo shule bora kuriko zote kuanzia kimchezo hadi kitaaluma,na madem zetu weruweru walitupenda sana, wale mliosoma Enzi za T.M.O na E.M.O enzi hizo MTEI EXPRESS
inabeba abiria na mbuzi, kuku na mabegi juu kwenye carrier , noma sana nilikuwa katibu Wa safari za mob
ILIKUA CENTER YA UMISETA. MADEMU ZETU WERUWERU GIRLS . KOLILA FUJO NYINGI
 
Back
Top Bottom