AdanaVural
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 628
- 354
Kumbuka hata mgawanyo wa wanafunzi waliokuwa wanaenda shule hizo ulikuwa unaenda kimikoa na wilayan, usije ukajiona we kipanga kwa kuchaguliwa kwenda huko wakati wewe umetokea wilaya ya kasulu huko ukamcheka aliyetokea kinondoni ukijilinganisha naye wewe unaweza kuwa wa 250 kwa hapa dar, mgawanyo wa zile nafas ktk wilaya na mikoa ndo ilikuwa chanzo cha baadhi ya watu wenye uwezo mkubwa kutochaguliwa huko kutokana na ushindan mkubwa wa mkoa wake .mf. Dar, na zilikuwa chance kwa washamba kama mtoa mada alipojiona kachaguliwa pale basi anahisi wao ndo walikuwa vipanga nchi nzima kumbe wengi wao walikuwa hovyo na ukitaka kujua angalia hata matokeo ya mwisho yalikuwaje kwa baadh yao