Hakuna St.Hassan mkuu!,labda unibabadulie vizuri,maana ninachokojua mimi kule kwa mama wa kambo huwa hawaamini mambo ya Sainthood.
Meta sec, Mbeya, sec, Songea boy's sec, Sangu sec?Ni kilaza hasa, wapi Ndanda secondary, Mtwara technical, Mtwara girls, Masasi girls.
Mazengo poa sana,Domi la ujamaa middle.wapi master Msasa?
Mkwawa nako kumetulia sana,wapi Mgohamwende?
Dodoma sec nayo enzi za kaishozi,daah nakumbuka mbali sana.wapi kalova? Wapi Nyamdindi? Wapi Mkunga mtingele?
Shule raha sana
Tabora boys......kipaji maalum
Dodoma Nuru tupa kuleee
Tabora boys......kipaji maalum
...kaangalie kwenye matokeo ya form six ya mwaka jana au juzi nadhani hakuna hata moja ya hizo kwenye 50 bora. Ilboru ni ya hamsini na tatu na ndo inawaongoza Wa serikalini. Ingawa Mimi nimo katiyazo, hamnamo kitu anymore....