Shule bora za Serikali, enzi hizo

Shule bora za Serikali, enzi hizo

Hii mada ya kitoto haina mashiko. Kuna wengine tulisoma huko London na hadi sasa tuna ma issue kibaoooo.
 
Mkuu hongera kwa kusoma london si wengine wa hapahapa
Mfamaji
 
Last edited by a moderator:
Kuna seminary za Katoke, Maua, zilikuwa balaa walikuwa wanaziacha hizo shule mbali
 
Mazengo poa sana,Domi la ujamaa middle.wapi master Msasa?
Mkwawa nako kumetulia sana,wapi Mgohamwende?
Dodoma sec nayo enzi za kaishozi,daah nakumbuka mbali sana.wapi kalova? Wapi Nyamdindi? Wapi Mkunga mtingele?
Shule raha sana

Msasa alikuwa balaa
 
Mliopita Mkwawa mnawakumbuka Ngui (rip) na Mgimwa (pygmy)? Walikuwa wanoko sana. Hahahaha!
 
Kigonsera a.k.a Kaigo four sold years, bweni la Tembo ni shiiiiiida asee, back in time...
 
Kinara Wa ablution za simba, nilikuwa nawavurumsha wanao "tupa wazungu weupe{masterbation}" bafuni asubuhi asubuhi. Asee

Mimi pia nimekaa Simba.

Thanks, namiss mapelege tulikuwa tunayafata Maganzo!
 
kama Bussiness na politics zisinge ingilia elimu hizi ni BEST schools za mda wote...!!
kibaha boys stand up....!!!
 
Acheni utani hizo ni shule bora za enzi hizo, enzi ambayo serikali ilikuwa inajali elimu....

Mkuu nakubaliana na wewe, enzi hizo kweli tulikuwa tukipata elimu katika shule hizi na zilikuwa bora. Kwa sasa, the list is supposed to be revised.
 
dah!forodhani ndo haipo kwasasa imeshachukuliwa
 
Back
Top Bottom