Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

Thomas Sankra Jr

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
418
128
Naaza na mimi... Nilisoma Ifunda Technical school na Tosamaganga high school wewe Je

Mzumbe Secondary
Ilboru Secondary
Kibaha Secondary
Tabora Boys Secondary
Tabora Girls Secondary
Msalato Secondary
Kilakala Secondary
Pugu Secondary
Minaki Secondary
Azania Secondary
Tosamaganga Secondary
Mkwawa Secondary (Casino)
Milambo Secondary
Mazengo Secondary
Tanga Technical Secondary
Galanos Secondary
Magamba Secondary
Kibiti Secondary
Shycom
Kigoma Secondary
Sengerema Secondary
Kantalamba Secondary
Jangwani Secondary
Malangali Secondary
Forodhani Secondary
Nsumba Secondary
Bwiru Boys Technical
Bwiru Girls Secondary
Nganza Secondary
Mwanza Secondary
Arusha Secondary
Umbwe Secondary
Machame Girls
Weruweru Girls
Moshi Technical
Iyunga Technical
Ifunda Technical
Kigonsera Secondary
Songea Boys Secondary
Bihawana Secondary
Mwenge Secondary
Shybush Secondary
Mwanza Secondary
Mara Secondary
Musoma Alliance
Tarime Secondary
Ihungo Sekondary
Usagara Secondary
Old Moshi Secondary
Kwiro Secondary
Same Secondary
Tambaza Secondary

Wote mliosoma shule kama Feza, Loyora, St Francoise mbeya, kifungiro, Maua seminary, uru seminary, Shabani Robart, Mazinde Juu seminary na chache za zamani hizo tutajie wewe umesoma ipi...

#Malisa G naye kasoma wapi? Tutaona vilaza hapa.
 
Mbona mazengo sec na mkwawa,,hazipo kwenye list jamani au ndio kusema sisi tuliosoma ni vihiyo.....mh
 
Kupata div 0 au IV ni kazi sana, yaani katika ile miaka minne yote uwelewa wako uko chini ya 25%. Hilo nalo neno.
 
ulichosoma ni sahihi kabsa yani kam ulu!izaliwa miaka ya 1975 mpaka 1985,hjaipta hata shule hizo hakuna kitu

KARIBUNI WATOTO WA ,]MZEE KWAYU Aza Boy! familly!

Mzee Mwalimu mchwa mpaka hasahauliki pale Azania kwa kwa kweli ...
 
Back
Top Bottom