Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Kwani hawezi kugombea kupitia ADC?Mbona nasikia kinaanza kuwa na nguvu huko Mwandiga?Ama kama wewe ni cuf ama ccm kwanini usimwombe aje huko kugombea?Ama mbona hugusii kuhusu CHAUMA?Heck The Boss amemshauri afunguwe chama chake!we bado huoni tu?Duh!Usitype just because una vidole na mbele yako kuna kifaa cha kutype na wewe unabonyeza tu........

Kwahiyo suala limekuwa sio kuombwa tena? je kwanini iwe Zitto aanzishe chama? Kwanini isiwe slaa?

Kama wengi mnavyotaka kubainisha slaa anakubalika kwa nini yeye asianzishe chama chake? mtaji wa wanachama na mtandao anao kama wengi mnavyodai lakini kwasababu halina ukweli ndio sababu anan`gang`nia Chadema na kuwapikia majungu na fitina viongozi wenzake;

M
kuu hizo propaganda zenu ongeeni kwenye mbege; Zitto anakubalika na ndio sababu yupo na ataendelea kuwepo Chadema;

Slaa ni pepo za kusi tu hazimzuii mvuvi makini kuingia baharini na mwisho wa pepo za kusi ni 2015 baada ya hapo ataamua mwenyewe kulea mwanaye na kitukuu au kurudi kumtumikia Mungu. Zitto bado kijana nyota yake itaendelea kung`ara kwenye medani za siasa.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz; Mohamedi Mtoi; Mwita Maranya; Matola; Pasco
 
hamtaki ZZK afukuzwe CDM? loh! kwanini nyinyi watu wa NYINYIEM mnamtetea sana ZZK?????

Kumfukuza Zitto ni kuigawa Chadema mapande mawili mtaji huo mnao??????

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo suala limekuwa sio kuombwa tena? je kwanini iwe Zitto aanzishe chama? Kwanini isiwe slaa? Kama wengi mnavyotaka kubainisha slaa anakubalika kwa nini yeye asianzishe chama chake? mtaji wa wanachama na mtandao anao kama wengi mnavyodai lakini kwasababu halina ukweli ndio sababu anan`gang`nia Chadema na kuwapikia majungu na fitina viongozi wenzake; mkuu hizo propaganda zenu ongeeni kwenye mbege; Zitto anakubalika na ndio sababu yupo na ataendelea kuwepo Chadema; slaa ni pepo za kusi tu hazimzuii mvuvi makini kuingia baharini.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz; Mohamedi Mtoi; Mwita Maranya; Matola; Pasco.......

Mkuu wewe kama unakunywa pombe utakuwa umejifunzia ukubwani.Kama si pombe kuna kitu huwa kinakulevya na unakuja na mabandiko ya ajabu ajabu.

Unajuwa nilipo hadi useme kuna mbege kama si kauli ya kijinga na yenye kuonyesha ubaguzi?Kama Zitto anaamini yale unayoyaamini wewe kuwa chama ni cha kikanda,kikabila na kidini.Kwanini sasa asije huko kwenye chama chenu kisicho na hayo matatizo?

Wananchi wengi wanaochukizwa na hizo kauli ni wale ambao wanaona kwamba chadema ni chama cha kitaifa.Wale wasio na hila na chama hawaoni hayo.

Tofauti na wale wa ccm,chauma na cuf ambao wanatumia propaganda sawa na Zitto za kuihujumu chadema.

Huwa sijui kwanini huwa kama unawashwa flani hivi na baadhi ya viongozi wa chadema.Huwezi kuficha chuki zako hata siku moja.

Nimeanzisha thread yenye swali unaloliona na nimeweka sababu za kuijenga hoja yangu.Wewe unataka kubadili mjadala sijui kuhusu aliyeombwa kugombea urais,as if hakuna asiyejuwa kuwa ni kina nani mnaomwomba ama wenye kuombea agombee kwa kutumia mgongo wa chuki,makundi na kauli za kuvuruga chama kwa kuleta udini,ukabila na ukanda sijui wa Lutigite.

CHADEMA kilikuwa kinajinasibisha na kupinga ufisadi na kumkomboa mwananchi pamoja na kuwa mbali mbali na ufisadi na mafisadi pale inapokuja kwenye kupata credibility ya wananchi. Na siyo style anayoitumia Zitto yenye uharibifu na kuleta makundi ndani ya chama.

Mambo ya kurudisha ukombozi wa Mtanzania nyuma.

I'd agree with you, but then we'd both be wrong.
 
Mkuu hii thread ilikuwa hapa kabla ya hayo mambo ya Ben na Masalia kuwekwa wazi humu jukwaani. Soma bandiko la kwanza utaona update.
Mkuu JMushi, mimi nilipost baada ya kija ya kumfire ZZK ilipobuliwa upya jana, kabla haijaunganishwa na hii ya kwako.

Modes!, its good mnapoamua kuunganisha threads kutokana na kufafana kwa hoja ya msingi, nawaombeni sana pia muwe mnaangalia maudhui na kuiupdate kwenye hoja ya msingi, mfano sasa kuwa waliochangia humu based on hoja ya msingi ya JMushi. Lakini kwa vile sasa kumeibuka new reveletions za hawa masalia na hoja kufukuzwa kwa ZZK, ikaletwa tena based on this new evidence ya masalia, then itakuwa ni kuitendea haki kama kama utaiweka na hii new evidence as an update!.
Merry X-Mass
Pasco.
 
Kumfukuza Zitto ni kuigawa Chadema mapande mawili mtaji huo mnao??????

Chama
Gongo la mboto DSM
sasa kama Zitto akifukuzwa CDM itagawanyika mapande mawili hamuoni huo utakuwa mtaji mkubwa kwa CCM? kwanini nyinyi watu wa CCM mnamtetea asifukuzwe ikiwa akifukuzwa CDM itasambaratika?? chama naomba unijibu.
 
zitto akifa leo na CDM itakufa? Nyerere alipokufa na CCM ilikufa? ongelea chama kama taasisi Pasco.
Mkuu Palali, kuna tofauti ya mtu akifa na akifukuzwa!. Kama Marehemu Wangwe angefukuzwa na angalikuwa hai, Chadema pangejimbika!. ZZK akifa leo Chadema itasimama, lakini akifukuzwa, Patachimbika!. Just imagine the scenario ya Nyerere, ile kitendo tuu cha kumtompigia kura mgombea wa CCM, kimeacha legacy mpaka leo kwa Musoma kuchagua upinzania sio dhambi!. Thank God ametangulia, hivi CCM wangethubutu kumfukuza anajua nini kingetokea!.

Kuna watu ni icons ndani ya Chama!, amini nakuambia ZZK ni mtaji mkubwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote, na ndiye one and only kwenye top brass anaya save faces ya Chadema kuonekana ni chama cha kitaifa vinginevyo...

Merry X-Mass and prosperous 2013
Pasco.
 
Pasco salute you kamanda!!!!
Salute Mkuu Nnauye Jr, ni faraja ilioje tunapotembelewa ma wakuu wa level yenu hapa jukwaani siku kama ya leo. Huwa ninakuona ukipandisha tuu thread unatokomeaga, nakuomba uwe unajibu na hoja zenye mashiko!. Kuna baadhi ya maswali niliwahi kukuuliza kwenye thread zako za nyuma sikupata majibu, nikahesabu hiyo ni "ignore". Uwege unajibu hoja kama leo umejitahidi sana kushinda kwenye hii thread!.

Alimkimbia Mnyika na Mpaka leo hajajibu Hoja za Mnyika. Wengi tunaamini alifaidika na shule ya Mnyika
 
hamtaki ZZK afukuzwe CDM? loh! kwanini nyinyi watu wa NYINYIEM mnamtetea sana ZZK?????

Mnashabikia tu, lakini hakuna wa kumfukuza ZZK, Chadema. Tusbiri huo ushahidi na tuone, only time will tell!
 
nadhani tatizo ni dini ya zitto. dini yake inamfanya awe msindikizaji siyo kiongozi wa top kabisa. yeye ametaka u top. hawezi salimika. udini unatupeleka pabaya
 
Mkuu JMushi, mimi nilipost baada ya kija ya kumfire ZZK ilipobuliwa upya jana, kabla haijaunganishwa na hii ya kwako.

Modes!, its good mnapoamua kuunganisha threads kutokana na kufafana kwa hoja ya msingi, nawaombeni sana pia muwe mnaangalia maudhui na kuiupdate kwenye hoja ya msingi, mfano sasa kuwa waliochangia humu based on hoja ya msingi ya JMushi. Lakini kwa vile sasa kumeibuka new reveletions za hawa masalia na hoja kufukuzwa kwa ZZK, ikaletwa tena based on this new evidence ya masalia, then itakuwa ni kuitendea haki kama kama utaiweka na hii new evidence as an update!.
Merry X-Mass
Pasco.
Tatizo ni kutaka kuibadili hii thread kuwa ni ya Dr Slaa.Wewe ni mwandishi sidhani kama litakupa shida kuelewa ama kuona kwamba inatakiwa ufungue thread yenye kuhusiana na hilo unalolisema kuwa ni ushahidi wa Zitto kutaka kuwekewa sumu.

Siyo kila hoja inafiti kila mahali.Hata mods wakiunganisha nadhani wanatumia akili kubwa mkuu.

Hata hivyo hiyo ya sumu nayo itaungwa tu na mojawapo ya zile za kina Juliana Shonza na kina Mwampamba,lakini si hapa mkuu.

Sorry...
 
ZITTO must be fired if the evidences shall provide proof beyond reasonable doubt. Itakuwa fundisho kwa vibaraka wengine wenye kughiribiwa na magamba kwa lengo la kurudisha nyuma jitihada za CDM za kuwakomboa watanzania wanyonge kutoka mikononi mwa mafisadi wasio na huruma.
 
Salute Mkuu Nnauye Jr, ni faraja ilioje tunapotembelewa ma wakuu wa level yenu hapa jukwaani siku kama ya leo. Huwa ninakuona ukipandisha tuu thread unatokomeaga, nakuomba uwe unajibu na hoja zenye mashiko!. Kuna baadhi ya maswali niliwahi kukuuliza kwenye thread zako za nyuma sikupata majibu, nikahesabu hiyo ni "ignore". Uwege unajibu hoja kama leo umejitahidi sana kushinda kwenye hii thread!.
Merry X-Mass and prosperous 2013
Pasco.
Duh wewew pasco ni mnafiki kweli juzi umesema mwenyewe kuwa ben saanane ni mwamba na katika mwamba Chadema itajengwa leo tena unamkandia wewe kweli una kazi maalum humu jf huwa unapima upepo hata kama si mwanasiasa lakini ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu kimsingi mimi huwa nakupuuza.wewe si mwanachadema waachie chadema masuala yao hayakuhusu mbona kuna masuala mengi tu ya kitaifa kuchangia mpaka kila siku ujadili watu tu jadili ideas usiwe muumini wa kujadili watu.
 
Mkuu Palali, kuna tofauti ya mtu akifa na akifukuzwa!. Kama Marehemu Wangwe angefukuzwa na angalikuwa hai, Chadema pangejimbika!. ZZK akifa leo Chadema itasimama, lakini akifukuzwa, Patachimbika!. Just imagine the scenario ya Nyerere, ile kitendo tuu cha kumtompigia kura mgombea wa CCM, kimeacha legacy mpaka leo kwa Musoma kuchagua upinzania sio dhambi!. Thank God ametangulia, hivi CCM wangethubutu kumfukuza anajua nini kingetokea!.

Kuna watu ni icons ndani ya Chama!, amini nakuambia ZZK ni mtaji mkubwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote, na ndiye one and only kwenye top brass anaya save faces ya Chadema kuonekana ni chama cha kitaifa vinginevyo...

Merry X-Mass and prosperous 2013
Pasco.

That's Pasco with sober mind. Tell em bro
 
Last edited by a moderator:
Kumfukuza Zitto ni kuigawa Chadema mapande mawili mtaji huo mnao??????

Chama
Gongo la mboto DSM

Ina maana wewe Chama au Ritz kweli mnaweza kuitakia CHADEMA jema lolote?

Unajua kaka, ninyi mnarahisisha maamuzi dhidi ya Zitto kwa maneno na matendo yenu. Na wakati huo huo mnauthibitishia umma juu ya usaliti wa Zitto kwa vile ninyi anti-CHADEMA wote kwa umoja & ujumla wenu mnamuunga mkono kwa maneno, matendo na mwenendo wake (Zitto) ndani ya chama. Kanuni na sheria za kinidhamu zimeshachukua mkondo wake so tusubiri kidogo.

Na ikiwa atafukuzwa au kunyang'anywa nyadhifa zake basi nanyi jueni kuwa mtakuwa mmechangia kumfikisha hapo.
 
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.

Il wewe Pasco ni mnafiki sana. Hutabiriki n uliyoandika ni kama mtuvaliyeahikishwa 10,000 na hajawahi kuishika na kisha akafurahi sana kwa kuimba na kucheka akimaliza anajua amenunuliwa kwa bei ya chee.

Badilika.
 
Last edited by a moderator:
Duh wewew pasco ni mnafiki kweli juzi umesema mwenyewe kuwa ben saanane ni mwamba na katika mwamba Chadema itajengwa leo tena unamkandia wewe kweli una kazi maalum humu jf huwa unapima upepo hata kama si mwanasiasa lakini ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu kimsingi mimi huwa nakupuuza.wewe si mwanachadema waachie chadema masuala yao hayakuhusu mbona kuna masuala mengi tu ya kitaifa kuchangia mpaka kila siku ujadili watu tu jadili ideas usiwe muumini wa kujadili watu.
Mkuu Elimu kwanza, hivi niliwahi kutamka popote kuwa mimi ni mwana Chadema?, kwa taarifa tuu, mimi sio mfuasi wa Chadema, sio mwanachama wa Chadema wala sio mshabiki wa Chadema, ila ndani ya Chadema, namkubali sana ZZK!.

Kama wewe ni mwana Chadema, na ungependa masuala ya Chadema yajadiliwe na wana Chadema tuu, washauri basi chama chako, muanzishe forum yenu ya "Chadema only" humo ndio mzungumze yenu wenyewe bila kuingiliwa, jf ni public forum, kila mtu yuko huru kuchangia chochote kwemye thread yoyote na kwenye jukwaa lolote!.

Niliwahi kusema mahali kuna baadhi ya manazi wa Chadema ni vichwa maji kweli kweli!, hivi unategemea watakao iingiza Chadema ikulu come 2015 ni wana Chadema pekee?!. Zile kura milioni 2 olus Dr alizovuna uchaguzi wa 2010, ni za wana Chadema pekee?!. Hivi ukiwa sio mwana Chadema, huna haki ya kuchangia chochote kuhusu Chadema?!.

Kwa kukusaidia tuu, Chadema if funded by taxpayers money!. Ni kodi yangu, yoke na yake ndio inayoilipia ile ruzuku ya Chadema!, katika sheria ya "right to information", anybody paid by taxpayers money, "the public has the right to know his public and private conduct"!. Hivyo sio tuu ni haki yetu kuchangia chochote kuhusu Chadema, pia tuna haki mpaka kujua mapato na matumizi ya Chadema!, ni fedha zetu!.

Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom