jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
- Thread starter
- #501
Nani ameanzisha mtandao wa kujichaguwa?Nadhani hujui kuwa Dr Slaa aliombwa agombee urais,fuatilia utaona wananchi wengi wanavyomfagilia na kumtaka agombee urais.Wengine huwa wanasema ni rais wa miyoni mwao.Kwa hiyo wewe unaangalia pande ipi ya shilingi? Ni afadhali ya Zitto ameweka wazi azma yake kuliko huyo mnafikia aliyeanzisha mtandao wa kujichagua
Chama
Gongo la mboto DSM
Fuatilia uone ni nani mnafiki,Zitto alishaulizwa kama atagombea 2015,akasema hagombei,baadaye akahojiwa akasema "watch my steps",baadaye tena akasema "ninautaka urais",hayo yote wala siyo shida,lakini style anayoitumia utaona kuwa yuko radhi kukanyanga chochote hata kama ni kusambaratisha chama chake.
Pande za shilingo zote natizama.