pumba tupu!!!!
JF baada ya 2010 imejaa wajinga na wapuuzi no wonder hakuna issues tena zaidi ya CHADEMA, CCM, Zitto, Slaa na ujinga mwingine mwingi tofauti na kabla ya 2010 ambapo kilikuwa ni kisima cha maarifa.....
big up pal.tatizo member wengi walioingia ni wanafunzi wakidato ama cha kwanza hadi cha nne.hata ukiwafahamisha na ukiwapa facts ndo wanazidi kukushambulia kwa matusi.wanafunzi hao hao wajf ndo wanaopinga kitu bila ya kutoa sababu maalum koz wengi wemepinga kitu hicho.wanasaikologia wamegundua kua akili za wanafunzi kama hawa waliomo ndani ya jf wanaziita mob saikology kwa sababu yakufuata mkumbe.kwa jina mashughuri ni akili za samaki.kama mimi ninauwezi ningeliwapiga vita wanafunzi wa lower forms kuwepo jf wanatuchafu.