Should CHADEMA Fire Zitto?

Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Pasco salute you kamanda!!!!

Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
 
Na hapo ndipo watu wanakosea, wote hawa ni wachafu, ni nani wa kumsafisha mwenzake? Watu wanamtetea Silaa wakati yeye pia ni part ya matatizo!

Mkuu umenena!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Pasco salute you kamanda!!!!

UOTE=Pasco;5300545]Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
[/QUOTE]

Nape naona povu linakutoka mpaka mkorogo unayeyuka? Unadhani chadema ni CCJ? Zitto lazima afukuzwe kwa kuleta makundi ndani ya CDM.... Mkuu plani zako zote zinaangukia pua. Kila mkakati wako unakufa, una balaa gani nape? Angalia wasikufukuze CCM
 
Think Twice!

Chadema inaweza kuwepo na kustawi bila Zitto na baadhi ya hao wengine unaowasema wewe.. Sidhani kama Chadema ni MTU!
Chama kinapaswa kuwa ni taasisi na sio watu, ili watu waje, watapita na chama kitabaki!, kwa Chadema mpaka hapa kilipo, bado ni watu, wakiondoka hakuna chama!.
 
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.

zitto akifa leo na CDM itakufa? Nyerere alipokufa na CCM ilikufa? ongelea chama kama taasisi Pasco.
 
Pasco salute you kamanda!!!!

UOTE=Pasco;5300545]Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
[/QUOTE]

Nape CDM sio CCJ, ambayo mlikuwa mnasubiri wajitoe CCM ikashindikana ukaamua kubaki hapohapo. CDM itaendelea kuwapo bila ya huyo mtu unayemtaka wewe.
 
Hukumu ya haki haitolewi kwa staili hiyo ndugu yangu.
Zitto bila kujali shutuma zinazoelekezwa kwake ni kweli au laa.
HAKI ITAPATIKANA PANDE ZOTE KWA CHAMA,ZITTO NA WALIOLETA SHUTUMA KAMA HAYA YATAFANYIKA.
1) Lazima walioleta shutuma wapewe upya fursa ya kuwasilisha shutuma zao zikiwa na ushahidi wa kutosha.
2) Zitto apewe fursa ya kujibu shutuma zinazomkabili (Hii ni haki yake ya kimsingi).
3) Ndipo chama kitoe hukumu kufuatia madai hayo kwa kuzingatia ushahidi uliotolewa na pande zote mbili.

MAONI YANGU
* Kama Zitto atapatikana na hatia hii itamgharimu kisiasa.
* Kama Zitto hatapatikana na hatia itamuongezea maradufu mtaji wa kisiasa.
 
Wala CDM haina haraka! Inazingatia hekima ya Sumaye: "Mwanasiasa hujimaliza mwenyewe".
 
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.

Hivi kumbe na wewe ni Masalia a.k.a Sangoma!!!???
 
Nape CDM sio CCJ, ambayo mlikuwa mnasubiri wajitoe CCM ikashindikana ukaamua kubaki hapohapo. CDM itaendelea kuwapo bila ya huyo mtu unayemtaka wewe.[/QUOTE]

Ujinga mwingine pengine ni wa kurithi, nimewaangalia kwa muda mrefu juu ya ccj , NISIKILIZE VIZURI NINGEKUWA MWANZILISHI WA CCJ NINGESIKIA FAHARI SANA LEO, SI SWALA BAYA WALA SI UHAINI IKIZINGATIWA CHAMA CHENYEWE BILA KUASAJILIWA MAGWANDA MLIKIMBIA KUZUNGUMZA KUUNGANA NAO, WANGESAJILIWA JE?!!!! LAKINI NILIWAHI KUTOA CHANGAMOTO MWENYE USHAHIDI WA USHIRIKI WANGU AUWEKE HADHARANI NITAJIUZULU NAFASI ZANGU ZOTE KISIASA NIKAWE MKULIMA WA NYANYA, MKAISHIA KUCHAKACHUA PICHA YANGU KUIVIKA JOHO LA CCJ....UPUUZI WA KUTUPA.. WAKATI MWINGINE MKIANGALIWA MNADHANI WATU HATUNA MAJIBU..
 
Nape naona povu linakutoka mpaka mkorogo unayeyuka? Unadhani chadema ni CCJ? Zitto lazima afukuzwe kwa kuleta makundi ndani ya CDM.... Mkuu plani zako zote zinaangukia pua. Kila mkakati wako unakufa, una balaa gani nape? Angalia wasikufukuze CCM[/QUOTE]

Huna adabu tu....nadhani si tatizo lako naomba nikusamehe bure sina njaa kama yako, mda wote unasubiri kulishwa..mwanaume mzima unakuja umeficha id yako angalia usijeolewa hapa...uwe na adabu
 
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.

Pasco
Chadema hakijawahi kumfukuza mwanachama wake, ila wanachama au viongozi wanaondoka wenyewe kwa style tofauti. huyo wewe unayemwona bila yeye hakuna chama ni ndoto tu ambazo unahaki kuziota, ndio maana na Nape anaamini hivyo kama wewe. Wako wengi waliweweseka Nyerere alivyosema anang'atuka hawakujiamini kam wao wakafikiri wote hatujiamini. Hakuna mtu atakayeondoka chama kiyumbe. Najua ZZK anatumia sana huu msemo wa vitisho eti bila yeye hakuna Chadema yeye aliikuta chadema na Nyerere alisema 1995 wakati ZZK hayupo kwenye hichi chama kwamba Chadema kitakuja kuwa tishio. Kumbuka tu htuipendi chadema kwa sababu ya kiongozi bali hatuitaki CCM. ZZK ataondoka, na yeyote yule na Chadema itabaki imara kama jiwe. Tumechoka na vitisho na tumesema ifike mwisho.

Pasco salute you kamanda!!!!

ZZK anatetewa na Nape , JK , Wasira, Mwigulu, nk inatufanya tuwe na mawazo sana. Kama wanajipenyeza ili kutuchanganya basi ZZK awakane hadharani kuwa yeye sio kundi la hawa mafisadi.

UOTE=Pasco;5300545]Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
[/QUOTE]

Pasco unachombeza tu, historia ya nchi hii sijashuhudia watu wakiuana zaidi ya kumsikia Ben na ZZK kila mmoja akimwogopa mwenzake kuwa anataka kumwua. Kama kweli uchawi au kuuwana kungekuwa real kweli wengi wangekuwa maiti sasa. Ni illusion tu na tamaa ya madaraka uchawi haupo kama upo basi watu wa sumbawanga wote wangekuwa mawaziri na maraisi na masikini wasingekuwepo. Kwa nini uwe mchawi leo baada ya kuwa na cheo kwa nini usisaidie ndugu zako na hizo nguvu za giza?? Haya mambo yenu ya kishirikina ndio yanaturudisha nyuma badala ya kutatua matatizo mnawasikiliza watu wasiojua hata kesho kunahitaji nini shame of wote washirikina.

Chama kinapaswa kuwa ni taasisi na sio watu, ili watu waje, watapita na chama kitabaki!, kwa Chadema mpaka hapa kilipo, bado ni watu, wakiondoka hakuna chama!.

Chadema ni taasisi ndio maana viongozi wa kitaifa wajue yeyote anaweza kuondoka ama kwa kustaafu, kuacha, kufukuzwa, na kuwajibishwa na chama kitakwenda mbele. Watatanzania lazima wajiamini. ZZK anaweza kwenda na chama kitakuwepo.

Hatuwezi kukubali kuyumbishwa na kweli akipatikana mtu na hatia msubirieni huko mumpe shuka halafu muone kama kuna hata mtu atamkumbuka. Kumbuka Lamwai , Kaborou , nk kama hawa waliwika na leo kwishney anybody can follow the trail. Nccr pamoja na kuondokewa na waanzilishi wote bado kinadunda na wabunge wapo. Ije kuwa mtu mmoja mwenye tamaa ndani ya chadema ambaye anafadhiliwa na mpuuzi mmoja Nape Nnauye?? come on Nape ni mwoga tu wa kivuli chake ndio maana anatumia watu dhaifa kwenye mambo magumu.
 
Naona unajichanganya mpaka huelewi nini unachosema; suala lilikuwa ni kuombwa kugombea; umedaia slaa aliombwa kugombea; na mimi nikakueleza pia Zitto naye ameombwa kugombea na wananchi; hapa siangalii Zitto amesema nini; ninachoangalia je Zitto ameombwa? Sasa wewe kama ungetaka kuhoji zaidi ungeniuliza ni kina nani wamemuomba kugombea; sasa hapo ndio tungendelea na mjadala; na hii dhana sielewi umeitoa wapi kwamba kila mwanaCCM ni shabiki wa Zitto; mimi ni mwanaCCM nashabikia wachezaji wa CCM; hapa ninachokataa ni unafiki na waongo wa nyie mashabiki wa slaa mnakesha jamvini kutaka kumsafisha bahati samaki kaoza hasafishiki wala haliki ni mzoga wa kutupa tu; tofauti ya Zitto na wanasiasa wengi wa Chadema anajiamini kama mwanasiasa wengi wa wanasiasa wenu ni "status quo" ndio sababu sishangai sana kumsikia mh. Mbowe akisema Chadema hakuna matata mambo shwari!

Chama
Gongo la mboto DSM
Kwani hawezi kugombea kupitia ADC?Mbona nasikia kinaanza kuwa na nguvu huko Mwandiga?Ama kama wewe ni cuf ama ccm kwanini usimwombe aje huko kugombea?Ama mbona hugusii kuhusu CHAUMA?Heck The Boss amemshauri afunguwe chama chake!we bado huoni tu?Duh!Usitype just because una vidole na mbele yako kuna kifaa cha kutype na wewe unabonyeza tu.
 
Nape naona povu linakutoka mpaka mkorogo unayeyuka? Unadhani chadema ni CCJ? Zitto lazima afukuzwe kwa kuleta makundi ndani ya CDM.... Mkuu plani zako zote zinaangukia pua. Kila mkakati wako unakufa, una balaa gani nape? Angalia wasikufukuze CCM

Huna adabu tu....nadhani si tatizo lako naomba nikusamehe bure sina njaa kama yako, mda wote unasubiri kulishwa..mwanaume mzima unakuja umeficha id yako angalia usijeolewa hapa...uwe na adabu[/QUOTE]

Kaka una njaa kali sana hiyo ni ajira ya uridhi huna kingine zaidi ya siasa. Unachokifanya huna jinsi na si mapenzi yako hata ukitumwa kuuwa panya utafanya huna jinsi, hata ukitakiwa uwe shetani utakuwa ndio kazi ya kutangaza yaliyokubaliwa ndio maana ya messenger just deliver uliyotumwa. Nasikia mwaka huu hazina mnaikausha ili kuuwa chadema mnahonga mpaka utu wenu. Chadema sio watu wachahce ni kazi ya Mungu kuwakomboa watu wake. Ukiwa na huruma utaanzia na mateso ya watanzania sio chadema, ukiwa na utu utaona umasikini wetu sio chadema, ukiwa na akili utatatua shida zetu sio kuhonga kina dada wa chadema ili waropoke.

Kazi ni kipomo cha utu, ila hujuma kipimo za ujinga.
 
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.
Mkuu hii thread ilikuwa hapa kabla ya hayo mambo ya Ben na Masalia kuwekwa wazi humu jukwaani.
Soma bandiko la kwanza utaona update.
 
Na ikimfukuza, Itajuta zaidi!.
Ifukuze ZZK kwa kosa lipi?. The source ya yote haya ni yule snitch saa8!. ZZK amethibitisha hamjui na hajawahi kukutana nae!. Hivi ZZK angeamua kufa na mtu alimpa huyo snitch ile sumu ya panya ili amuua ZZK, leo Chadema ingekuwa wapi?.
Snitch ame confess humu jf kuwa walipanga mikakati kuihuumu Chadema!, mbona kwenye suala la sumu haja confess?.
Chadema is ZZK plus hao wengine, na hao wengine plus ZZK ndio Chadema!. Bila ZZK hakuna Chadema, na ZZK bila Chadema is equals to nothing, hivyo ZZK is there to stay!. Hakuna wa kumgusa, wa kumtingisha wala wa kumtishia nyau!.

Kama lengo ni kukisafisha chama, tuanzie juu kwa wapanga mauaji kwa kutumia sumu ya panya!.
Pasco!.

kuna muda huwa hushirikishi ubongo wako, hasa leo
 
CDM wafanye kilichofanywa na ANC kwa malema ni ku-fire tu mbona madiwani waliwafanyia hivyo kwani zitto ni zaidi ya chama????

zitto si chochote ataifikisha cdm pabaya pindi wakiendelea kumlinda! it is better to kick him from the system!!
 
Chama kinapaswa kuwa ni taasisi na sio watu, ili watu waje, watapita na chama kitabaki!, kwa Chadema mpaka hapa kilipo, bado ni watu, wakiondoka hakuna chama!.

jipe moyo, nikusaidie tu pindi cdm inaanzishwa zzk alikuwa wapi kama sio kigoma akivua dagaa kwa shuka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom