Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,123
- 128,768
Mkuu Mzee wa Rula, ulijuaje hiyo 10,000 ndio niliyohakikishiwa?!. Ukiongeza na 10,000 ndio standard kiwango cha zile bahasha zetu za khaki, and its just enough to make my day, kwa hiyo ni kweli kabisa, sina bei kabisa!,Il wewe Pasco ni mnafiki sana. Hutabiriki n uliyoandika ni kama mtuvaliyeahikishwa 10,000 na hajawahi kuishika na kisha akafurahi sana kwa kuimba na kucheka akimaliza anajua amenunuliwa kwa bei ya chee. Badilika.
Nitajitahidi kuufuata ushauri wako nibadilike, 2013 bei itakuwa 30,000/= nadhani ni mabadiliko tosha!
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco