Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Maaskofu wanatokea wapi tena?? au wao ndio wanaomshikilia shehe Faridi?
Kweli watu wana akili zao za mkia wa mbuzi

leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD MWAIKENDA ,mwaikenda- hawa wote wamefukuzwa gazeti la majira na sasa richard mwaikenda ndio mpiga picha wa Gazeti la JAMBO LEO.


Zaidi tuu kuhusu huyu BENNY KISAKA ni kuwa toka miss tanzania imeanza mwaka 1994 yeye amepewa uwakilishi wa kitongoji cha temeke yaani HASHIM LUNDENGA kashindwa kumuani kusimamia ngazi ya mkoa licha ya kuwepo toka 1994Lundenga mwenyewe anasema jamaa hana ubunifu!


Haya mhariri mkuu wa gazeti la JAMBO LEO ni BONIFACE WAMBURA huyu alikuwa akiandikia michezo gazeti la majira akatimuliwa kwa tabia zake za ufisadi.


Na kaimu mhariri wa habari ni EDSON KAMUKARA aliyemaliza nyegezi miezi sita iliyopita hana uzoefu na hajui kazi…aliandaliwa interview na jamaa wa pale BOT akaingia mitini watu BOT walimsubiri weee mpaka!

Mhariri wa makala JOACHIM MUSHI ambaye ni binamu yake kisaka nae hana uzoefu wa kazi wala elimu, mhariri wa michezo WILLY EDWARD alifukuzwa gazeti la majira kwa sababu ya wizi akawa misheni town kwa muda mrefu.

By the way mpiga picha RICHARD MWAIKENDA ndiye aliyekuwa bosi wa benny kisaka majira kabla hawajafukuzwa wote. kwenye michezo kuna EDWARD KUMWEMBE huyu naye kafukuzwa habari corporation kwa kutokujua maadili ya kazi na kuheshimu mkataba wa kazi alikuwa habari corporation halafu anaandikia magazeti mengine ya mitaani. RUHIGO akamtimulia mbali.

swali gazeti hili la kila siku limasheheni waaandishi ambao wamefukuzwa kwenye vyombo vingine na limeshindwa kuchukua wataalam wa habari,wameshindwa kujifunza kwa mbowe wakati anaanzisha tanzania daima alichukua watu toka kona mbali mbali ili kupata flavour….

Sasa kichekesho ni mwenye Gazeti hili mwenyewe jina lake halipo hata sehemu moja na kijana ambaye ni msomi tuu lakini cha ajabu huyu bwana hapo chini ndiye anamweka front kumfanyia mambo yake…kwa madai kuwa washajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kwa mtazamo kuwa hili gazeti litakuwa leading daily paper in Tanzania within 6 months
11.jpg

Meneja Masoko wa bodi ya Utalii Tanzania Geofrey Meena kushoto akiwa na Juma Pinto mtanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuutangaza utalii waTanzania nchini uingereza

sasa utamu zaidi ni kuwa huyu bwana katajwa kwenye kashfa ya UFISADI wa wizara ya utalii.
i549_utaliitanzania2.jpg
 
Profesa Shivji ni muhindi wa Kashmir mbona mumekaa kimya acheni chuki .

Mytake: QURAN TUKUFU INASEMA HAWATA WAPENDA WAYAHUDI WALA WAKIRISTO MPAKA MFATE MILA YAO NA NDIO YANAYO TOKEA HAPA TZ.

Mbona huyu shehe hakukamatwa wala hakubugudhiwa na mtu /serikali toka uamsho uliposajiliwa ..unajua kwa nini kakamatwa? Kaleta chokochoko choko mkubwa yule. Tela chokochoko kubwa serikalini. Kajiteka na kasababisha askari kauwawa nchi vurugu mtindo mmoja. angekaa kimya na uamsho wake na kufanya shughuli za uamsho unafikiri angakamatwa?
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

************
Oktoba 24, 2012

Double Standards.
Siamini kama leo hii gazeti la Jambo Leo kimekuwa chanzo cha kuaminika cha habari? Ebwanaeeeh...
 
Mbona huyu shehe hakukamatwa wala hakubugudhiwa na mtu /serikali toka uamsho uliposajiliwa ..unajua kwa nini kakamatwa? Kaleta chokochoko choko mkubwa yule. Tela chokochoko kubwa serikalini. Kajiteka na kasababisha askari kauwawa nchi vurugu mtindo mmoja. angekaa kimya na uamsho wake na kufanya shughuli za uamsho unafikiri angakamatwa?

ungalienda polisi unkamfungulia mashitaka hayo kwani naona serikali haijamfungulia mashitaka hayo unayosema au vipi mkuu
 
Daah!ukweli waislam mumenipa mtizamo ambao sikuwahi kuwa nao maishani mwangu.

Kama hamfahamu,badala ya kuweka mtizamo mzuri kuhusu dini yenu,mumeuharibu kabisa!Sijui ni kitu gani?

Toka JK achukue nchi kumebadilika sana,na hata wale walioukuwa hawana maoni yoyote kuhusu uislam,mmesababisha wawe na picha mbaya sana kuhusu dini hiyo,take it or leave it ndo ukweli huo.


Mkuu, sitakuja niuamini uislamu!
 
NA Kwa mujibu wa magazeti ya leo ni kwamba alifukuzwa jeshi la Qatar kwa kuwa ana matatizo ya akili
na ndo maana mnaona ana midevu kama beberu coz katika hali ya kawaida
binadamu yeyeto mwenye akili timamu hawezi kuachia midevu kiasi hicho
otherwise uwe na UKICHAA au UWE GAIDI

"Viwanda", vinajulikana. Hata Iddi Amin vilisema anakula nyama za watu.
 
Waafrika toka wakombolewe utumwani kinadharia miaka ya 1880, lakini mpaka wa leo wako katika minyororo ya kufikiri na kutenda.
ukitazma picha ya viongozi wa uamsho ni mabwana waarab koko, na hao wafuasi wao ni watwana weusi wakichanyikani na waarab wa kuapia'' ehhe hakyamungu mimi mwarab''. Je hii kasumba itaisha lini au ndio milele weusi watwana waarab mabwana? Wanachosema mabwana kinafana, watwana hakuna kukana! emancipate yourself from mental slavery you african! none but yourself can do that!! GOD BLESS AFRICA AND ITS PEOPLE!

Uarabu hauna rangi, Waarabu wengi ni weusi na wengi wanapatikana Afrika kuliko kontinenti jingine lolote lile. Utumwa haukufanywa na Taifa fulani ulifanywa na kila mtu, si mzungu si mchina si mwaafrika si mtumbatu mndengereko si mnyamwezi. Mnadanganywa mnadanganyika, ndiyo maana mpaka juzi nimeona kwenye TV wazungu wameleta tochi wanagawa mnawafurahia nikakumbuka historia niliyoisoma walipoleta vioo na shanga wao wakawa wanachota almasi na marijani. Si hasha watu hao wanaopewa tochi leo wakazichekelea wewe ni mmoja wapo.
 
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.
Akirudi kama mtanzania no problem lakini akirudi kama alqaida,alshabab au uamsho lazima aende jela tena gereza isanga DODOMA. Na wakianza kujitoa mhanga tutawafyeka kama alivyo wafanya mkapa.bora wakakae hukohuko shimoni.mbona walipo kuwa shimoni tulipumua kwa raha zetu!! wamerudi wanachochea vurugu,watajuta kuwajuwa watanzania.
 
Akirudi kama mtanzania no problem lakini akirudi kama alqaida,alshabab au uamsho lazima aende jela tena gereza isanga DODOMA. Na wakianza kujitoa mhanga tutawafyeka kama alivyo wafanya mkapa.bora wakakae hukohuko shimoni.mbona walipo kuwa shimoni tulipumua kwa raha zetu!! wamerudi wanachochea vurugu,watajuta kuwajuwa watanzania.

kama mlivyomfyeka Dr. Ulimboka ???
 
NA Kwa mujibu wa magazeti ya leo ni kwamba alifukuzwa jeshi la Qatar kwa kuwa ana matatizo ya akili
na ndo maana mnaona ana midevu kama beberu coz katika hali ya kawaida
binadamu yeyeto mwenye akili timamu hawezi kuachia midevu kiasi hicho
otherwise uwe na UKICHAA au UWE GAIDI

Yule Yesu wa kwenye CINEMA ni Kichaa au Gaidi ?
nifafanulie

"I gave my back to those who strike, and my cheeks to those who pull out the beard; I hid not my face from disgrace and spitting." (Isa 50:6)


4: And Hanun took David's servants and shaved off half of their beards, and cut off their long robes in the center, to their buttocks; and he sent them away.
5: And they told David, and he sent to meet them; for the men were greatly ashamed. And the king said, Remain in Jericho until your beard grows; then you shall return. (2 Samuel 10:4-5)


Kwa mujibu wako most of the characters from the Holly Bible(Both old and New Testament) ni vichaa na Magaidi
 
We vipi? kosa sio kufanya kazi! ila ye kajiunga na jeshi la Qatar kwa uraia gani? unajua sifa za kujiunga na jeshi?

TENA KWA KUONGEZEA TU HAPO...

Kazi ya jeshi sio ya kupewapewa ajira mahali popote kama uhasibu.Ni kazi nyeti ya kulinda taifa. Moja ya sifa mojawapo ni lazima uwe RAIA MWAMINIFU NA MZALENDO.
 
gaidi namba moja tz ni polycape pengo anaefadhiliwa na vatican...
Vitu vingine vikisemwa ni vya kuomba MUNGU asamehe tuu. Wale vijana wa kiislamu wanaopata elimu SAUT na wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali zilizo chini ya uliyemtaja bila ubaguzi wakikusoma wanakuona sio mwenzi wao ila kichaa fulani.Pole sana kwa kukaririshwa mambo ya hovyo na Farid
 
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

Unaonekana kama akili zako ziko kwa nyuma,jibu hoja siyo kutukana,hivyo una maana kuwa katumwa kuja Zanzibar kuwaunganisha na watu wa gulf?.tena kwa njia ya uamsho kupinga serikali kuchoma makanisa kuharibu shughuli za maendeleo huo uamsho wa wapi tena kama hakuna jambo fulani nyuma yake.huyo atafia jela na uamsho wake.sisi wabara kuvunja muungano siyo issue kabisa kwetu hata kesho mkiamua tuko tayari. si mmeamua kurudi utumwani?
 
Sehemu muhimu uwepo wewe ? Kwa taarifa yako harakati za ukombozi wa Zanzibar zitaendelea mpaka kieleweke. Na lolote atakalofanyiwa Sheikh Farid ,hilo hilo litawakuta Maaskofu/Padri/Wachungaji huu sio wakati wa kuchezeana tena.

Huyu TAKASHI ananitia hofu kama ni Mtanzania mzalendo...hivi MODERATOR kama kuna jinsi ya kumjua anatokea wapi,amekaa kigaidi-gaidi sana.Anaweza kufanya lolote, najua hatanii kwa maneno haya inaonesha imani yake kabisa katika kufanya vurugu eti kuikomboa Zanzibar utadhani iko utumwani!!HAWA WATU WAKILELEWA WATAKUWA WASUMBUFU SANA na ndio wanaweza kuleta UASI kabisa.
 
Mkuu, sitakuja niuamini uislamu!
Nadhani kuna kitu ndugu zetu waislam walikuwa hawakielewi ama bado hawakielewi hadi usawa huu.

Nchi yetu hii,wengi wa wananchi walikuwa hawapendi ukandamizaji wa societies za kiislam popote duniani,tumeona hata kwenye issue ya Libya tulivyokuwa tumegawanyika,wengi wa wananchi wa dini tofauti na uislam,na wakristo wakiwemo,hawakupenda yaliyotokea huko.

Tumekuwa tukiwasapoti Palestine,tumekuwa tukisypathise na waislam popote inapotokea kwamba kuna mauwaji yenye kuwahusisha,mimi mwenyewe na wengi tu nafahamu tulikuwa very critical kuhusiana na sera za mataifa ya magharibi towards muslim nations.

Lakini kwa usawa huu,ile sympathy imeondoka kabisa!Kuna watu watakao conclude kwamba ni haki ya mataifa hayo kuwadhibiti no matter what!

Nilikuwa nikiona huruma wakati wa vita hata vya Iraki pale ninapoona watoto na kina mama wakiuwawa kwa mabomu ya mataifa hayo,wengine wakibaki wakimbizi na mataifa hayo kuwa destabilized,lakini sasa mitizamo hiyo imekuwa affected kwa kiasi kikubwa sana!

Badala sasa ya kuyalaumu hayo mataifa,lawama zitaenda kwa waislam wenye kusapoti mawazo ya chuki dhidi ya imani nyingine,nimegunduwa wao ndiyo wenye chuki kwasababu kwenye mataifa ya west wao wanauhuru tosha kabisa wa kupractice dini yao tofauti na mataifa ya kiislam ambayo hata bible haziruhusiwi!

Sikujuwa kama waislam wana chuki kiasi hiki.Nimejifunza kitu ambacho kimenifanya nibadilishe sana mawazo yangu,very sad!Lakini ndo ukweli na ninauhakika hilo limewatokea watu wengi tu nchini mwetu!

Nilisema before kuwa kama kuna waislam wanaopingana na misimamo ya chuki ya hao wenzao,walitakiwa wajitokeze na wapingane nao,lakini maajabu ni kwamba either wako kimya,ama wana sympathise nao,hata wale wasomi!Na wanaojitokeza kupingana nao,wanaitwa kuwa ni wasaliti wa uislam,mfano ni members ASha Dii na Mohamed Mtoi.Hao ni watanzania,kwenye nchi za kiislam,wanauwawa,mifano iko mingi,lakini wa hivi karibuni ni yule Malala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom