Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

hizi ni akili za
kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar
ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu
weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot
na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman
dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho
mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa
wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na
muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa
hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika
wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio
mabasha

mbakie huko huko kwenu Gulf kwa babu zenu muiache znz yetu na muungano wetu,you slave caravan's bastards.mss!
 
Nawajuwa Watanzania wengi wanaotumikia majeshi ya nje. Ujuwe kuna nchi zinaajiri wanajeshi hata kama si raia.

Tatizo ni lipi hapo?
 
Ana Jazba za urithi Anaweza Kujilipua huyo Hivi maiti kuzikwa makaburi fulani kuna Ubaya gani? Kwani atachipua? Oneni na sikieni kero zao hawa. Hawadai la maana chuki wivu na Visasi tu ndio wanayojazana nafsini mwao
 
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

mbona inafahamika kuwa wazanzibari wengi ni matokeo ya sultani
 
....Ametumikia jeshi la Qatar
....Amepitia mafunzo ya Al Qaeda

My take: Kwa nini hawa wahamiaji wanaachiwa sana watambe kuvuruga amani ya Tanzania. Tunaona muhamiaji mwingine Sheikh Ponda anavyovuvuruga na tunamlea lea tu..
 
Hata kama Gazeti limekopy humu JF kama kuna kaukweli hamna mbaya. Humu JF kuna ukweli Mwingi na uongo pia.
 
mkuu,hata kama vitendo vyao havikubaliki na pia tuna chuki dhidi ya uamsho, lakini hayo maelezo hapo juu hayakubaliki pia vinginevyo ithibitike kuwa ni maelezo ya intelijensia ya jeshi la polisi letu,otherwise ni ya kipuuzipuuzi kwani mimi namfahamu binti yake na nimesoma nae!!!!
 
Gazeti la Jambo leo 24 Octoba 2012 lina details!
Raia wa Yemen na Uhusiano na Alqaida!! Vyombo vya usalama vifanye kazi yake na tusilumbane hapa!!
 
wivu wako nini wewe na faridi si mtanganyika? Ikiwa kufanya kazi qatar ndio zambi, basi wako wengi tu wazanzibar wanafanya kazi gulf tena jeshini na serekali ya mapinduzu ya zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya muungano na tanganyika.

Jee kuwa na jamma gulf vipi? Maana wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? Hebu wacha wazimu kama munasema watanganyika na wazanzibar nindugu basi na gulf na wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

that is the fact kama mtu sio mtanzania anatakiwa arudi kwao kwa kufutiwa uraia very simple
 
Profesa Shivji ni muhindi wa Kashmir mbona mumekaa kimya acheni chuki .

Mytake: QURAN TUKUFU INASEMA HAWATA WAPENDA WAYAHUDI WALA WAKIRISTO MPAKA MFATE MILA YAO NA NDIO YANAYO TOKEA HAPA TZ.
 
Mleta mada akili zake margeee na hilo la Jambo Leo limetunwa na linatafuta njia ya kuuza gazeti!

Haya basi sheikh faridi babake ni msaudia mamake ni yemen, yeye mwenyewe ameishi Oman kwa muda na alikua akitumikia intelligence ya Iran, alifanya biashara ya unga kutoka afghanistan akawa anauza syria kama ndio soko lake, alitumikia jeshi la qatar kwa miaka miwili kisha akaenda Russia kuongeza ujuzi wa kijeshi na aliporudi akawa anafanya kazi katika jeshi la palestine, alipoacha hapo alikuwa mwalimu mkuu katika kuwafundisha Al qaeda jinsi ua kutegua mabomu pamoja na kutengeza C-4 kwa kutumia vitu vya nyumbani, alikuwa anasaidia kifedha kikundi cha AL-shabbab pamoja na kuwapelekea silaha akitumia cheo chake jeshini alipokua akifanya kazi. Alijitoa muhanga katika 9/11 lakini yeye aliokoka,,,,,,, <---- mleta mada nenda kaseme na haya pia umeyasikia sawa? :-D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom