Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Hicho chenyewe ni Kiarabu, sasa sijui utajificha wapi? au utaweza kukikimbia kivuli chako?
zomba, Zanzibar haikuwahi kuitawala Oman. Oman ilihamishia tu utawala wake Zanzibar na sio utumbo ulioandika pale. Tofauti yako na Mulugo ni majina tu, lakini kichwani kwako hamna kitu. Ukikaa na wanao we wafundishe wakajibu hivyo kwenye mtihani kuwa Zanzibar iliitawala Oman halafu ujiandae kumnunia Ndalichako utadhani yeye ndio aliwafundisha ujinga watoto wako.

Mwarabu alitawala sana akili zenu sasa hamwezi kufikiri nje ya utawala wake. Watumwa watiifu
 
Last edited by a moderator:
Satanism In The Vatican!
popecross.jpg
Please notice the picture above with an upside-down cross. In his article, The Kingdom of Satan, Professor J.S. Malan says this about the inverted cross . . .
"This cross is not broken, but turned upside down. It indicates the rejection of Jesus Christ and contempt for the gospel of salvation. Inverted symbols are typical of the opposite values pursued by Satanists. People who are sometimes sacrificed to Satan on Black Sabbath are crucified upside down in accordance with this tradition."
Yaleyale ya ubungo, mwenge na manzese...unajisikiaje sasa baada ya kuweka bandiko lako?raha? au ??
 
TAKASHI,

Wewe unatetea Zanzibar kama nchi ama imani yako? Sera zako ziko wapi? Utawaongoza katika maendeleo yapi ya nchi ama ya kidini pale wa Zanzibar wakikubali kuvaa mabomu wajilipue kama itikadi yako inavyoonekana? Naomba utoe ufafanuzi wa kina juu ya maswali hayo ili tujue pengine kweli unalo jambo la kweli linaloweza kuleta tija kwa Watanzania waishi Zanzibar.
 
mpemba Vs.muunguja cuf Vs ccm

sasa ndo nini kuwaita wenzio mbuzi au ng'ombe c ueleze hisia zako vizuri wote tumeumbwa na Mungu kama binadamu hata kama wanakuudhi kuwa mstahimilivu
 
Kuna vichaa wengine saa hizi wanarushia mawe ukuta walioujenga wenyewe eti wanauita shetani. Wakirudi huko Idi ali haji.

Pengo hafugi majini ndio maana unathubutu kumtukana hata kama hajakukosea

Yeye amepotea na ataendelea kuwapoteza watu kama wewe brain washed...sanamu unachonga mwenyewe halafu unapiga magoti unaliabudu...kama si ukichaa kitu gani?
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha

Inasikitisha mtu mpevu wa akili kama wewe unapolalama kuhusu Zanzibar kutawaliwa na Tanganyika wakati njia ya kutokea i wazi!

Hamhitaji vita wala ridhaa au msaada wa UN, bali ni Baraza lenu la wawakilishi kupitisha sheria ya referendum ya ndiyo au hapana muungano na Tanganyika. Wengi mkisema ndiyo, basi yatatimia. Sasa tatizo liko wapi? Au mnaogopa utabiri wa Mwl. Nyerere kuhusu dhambi ya kujitenga?
 
Please notice the picture above with an upside-down cross. In his article, The Kingdom of Satan, Professor J.S. Malan says this about the inverted cross . . .
"This cross is not broken, but turned upside down. It indicates the rejection of Jesus Christ and contempt for the gospel of salvation. Inverted symbols are typical of the opposite values pursued by Satanists. People who are sometimes sacrificed to Satan on Black Sabbath are crucified upside down in accordance with this tradition."
Tofauti ya Prof. J.S. Malan na Sulman Rushdie ni kwamba, Prof. Malan ametoa maoni yake binafsi na kamwe si tishio kwa imani yetu kwani haipimwi kwa maoni yenu, lkn Sulman Rushdie alitafsiri Quran na leo anatafutwa auawe.

Kama unaamini msalaba ukikaa up side down ni kinyume na Kristo, vipi basi tunapokuwa tumeuweka sawa mnatusakama kuwa tunaabudu sanamu?

Halafu mimi sio wa level yako zomba. Wewe ni zuzu kiasi unaamini Zanzibar iliitawala Oman. Nitafutie ushahidi wa hilo kama mwanaume kweli, haya ndio mnayofundisha watoto wenu tena kwa style kama hii uliotumia ya kurukaruka ili mradi useme kitu.

Mimi nakushauri umwamini Sulman Rushdie alinukuu Quran tofauti na huyu Prof. Malan yeye anatoa maoni yake binafsi na wala hakusoma Mathayo wala Luka.

Prof. Malan huyu huyu kesho akitengeneza movie inayohusu maisha ya Marehemu Muhammad mtaandamana
 
Last edited by a moderator:
zomba, Zanzibar haikuwahi kuitawala Oman. Oman ilihamishia tu utawala wake Zanzibar na sio utumbo ulioandika pale. Tofauti yako na Mulugo ni majina tu, lakini kichwani kwako hamna kitu. Ukikaa na wanao we wafundishe wakajibu hivyo kwenye mtihani kuwa Zanzibar iliitawala Oman halafu ujiandae kumnunia Ndalichako utadhani yeye ndio aliwafundisha ujinga watoto wako.

Mwarabu alitawala sana akili zenu sasa hamwezi kufikiri nje ya utawala wake. Watumwa watiifu

Mnaambiwa someni hamtaki, ipate zenj kidogo hapa, wewe hata neno Zanzibar limetoka wapi hujui:

CHRONOLOGY OF ZANZIBAR
BC I AD I Chinese Visit I Arrival of Alawis I Ibn Batuta I Vasco da Gama I Francis Drake I Omanis defeat Portuguese I Albusaid Dynasty begins I Said bin Sultan born I Livinstone born I Omanis in Zanzibar I Stanley born I Seyyid Said dies I UMCA arrive Zanzibar I Majid dies I Livingstone dies I Alawi dynasty ends I Germans arrive EA I Barghash dies I British Protectorate I Bombardment I Stanley dies I Slavery Abolished I WWI begins I Revolution
B.C.
1000 BC For the last three thousand years at least, sailors and traders from Arabia and the Persian Gulf used the north east monsoon winds (from mid December until the end of February and called "Kaskazi" - they herald the long or "Masika" rains) to voyage to the east coast of Africa bringing knives, spears, metalwork, beads and later firearms.
Between April and September, the south west monsoon (called the "Kusi", which brings the short, or "Vuli" rains) blew the sailors back again across two thousand miles of the Indian Ocean, carrying their cargoes of gold, tortoise-shell, ivory and slaves.
700 BC The first mention of the land of "Zinj". This was controlled by the Sabaean kingdom of Saba or Sheba whose queen visited Solomon and marvelled at his wealth. The Sabaeans were a maritime people, the descendants of Joktan (Genesis 10: 26-9) who lived in Southern Arabia. They dominated the carrying trade of the east, controlling the spice trade and supplying the eastern world with gold, slaves, tortoise-shell, ambergris, ebony and ivory, brought in dhows from the coast of Zinj to Arabia.
The Sabaean kingdom lasted until the 1st century B.C. when the Indian trade ceased to be carried by sea and went by land. Their decline was speeded by a disaster to the great dam which irrigated the country. The whole land dried up and the capital city, Marib, became a ruin.
45 BC Hippalus the Egyptian revealed the existence of the monsoons and trade winds to the world and gave the West the key to the East. The Phoenicians, the Arabs, the Persians and the Hindus had kept their knowledge of these winds secret for centuries.
At about this time certain African tribes from the mainland made small separate settlements on Unguja and Pemba. They crossed over to the islands in their dug-out outrigger canoes - similar to the ngalawas of today. They were taller than the present day people and they worshipped trees and the sun.
100 BC An anonymous seafarer wrote the "Periplus of the Erythraean Sea", or Circumnavigation of the Indian Ocean. This is probably the earliest firsthand account of the East African coast to have survived and it mentions an island called "Menouthias", off the shores of Azania. This may have been Pemba.

Source: Zanzibar - Chronology

Ukimaliza sema nikuongeze, hiyo ya juu nimekupa ujuwe kuwa Zenj Empire ilikuwepo kabla ya ujio wa wa Oman.
 
Kama allah sio muarabu basi acheni kuwadunda watoto madrasa kiuwalazimisha kujifunza kiarabu ambacho hakiwasaidii chochote kwenye soko la ajira zaidi ya kuandika albadiri.

Allah ana mabinti watatu Lat, Uzzah na Manat. Labda hakuwazaa ila anajua mwenyewe alivyowapata

1 ) kiarabu ni lugha ya kipekee isiyoleta mkanganyiko! .. mfano kwa kiarabu ALLAH haina uwingi! lakini kwa kizungu na kiswahii neno mungu lina uwingi ambapo ni tofauti na imani yetu! tunaamini mungu ni mmoja..

2 ) quran ilishushwa kwa lugha ya kiarabu ..

3 ) Mtume alikuwa muarabu so nina jisikia raha ninaposoma dini kwa lugha ya mtume wangu!

4) hao mabint wa tatu .. alabda ulizaa wewe ...

Yaleyale ya ubungo, mwenge na manzese...unajisikiaje sasa baada ya kuweka bandiko lako?raha? au ??

Mkuu, huyo Zomba anajua Mtume Petro alikufaje? Angejua asingeweka ushabiki huu usio na elimu. Tatizo kubwa la wana JF wengi ni wavivu wa kusoma maachapisho mbalimbali. Matokeo yake wanajifanya kujua kwa shallow knowledge waliyonayo.
Walipata kusema wahenga hapo kale kwamba "a little knowledge in a variety of subjects makes any fool wise in the midst of fools". Hicho ndicho kinachotokea JF.

Samahani kama nitamkera.
 
Kama kweli ni mwanajeshi hiyo ni hatari, ikithibitika, abanwe aeleze vizuri ametumwa na nani? Hizi habari za eti wazanzbar wapo oman ni ujinga tu, hata wa bara wana ndugu marekani, misri, zambia na kwingine..lakini sio wanajeshi! Ahojiwe, pengine tukagundua mengi mazito
 
Hawa watu wa Arabuni nadhani wengi wao wana genetic heredity ya fujo haki!
 
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

************
Oktoba 24, 2012
Ningekuwa na silaha ningekushuti..
 
TAKASHI,

Wewe unatetea Zanzibar kama nchi ama imani yako? Sera zako ziko wapi? Utawaongoza katika maendeleo yapi ya nchi ama ya kidini pale wa Zanzibar wakikubali kuvaa mabomu wajilipue kama itikadi yako inavyoonekana? Naomba utoe ufafanuzi wa kina juu ya maswali hayo ili tujue pengine kweli unalo jambo la kweli linaloweza kuleta tija kwa Watanzania waishi Zanzibar.

Mimi natetea Zanzibar iwe kama ilivivyokuwa kabla ya Muungano 1964. Wakati huo Zanzibar ilikuwa huru kujiamlia mambo yake kitaifa na kimataifa. Imani yangu ya ki-islamu haipingani na uwepo wa Zanzibar huru.

Hakuna kundi linalodai sheria (utawala wa kiislamu) ,makundi yote yanaungana kutaka Zanzibar huru kutoka mikononi mwa Tanganyika. Tanganyika kupitia mfumo kristo imeifikisha Zanzibar katika hali mbaya sana. Kiuchumi, kijamii na kiutamaduni Zanzibar imepoteza uhaiba wake.

Leo Watanganyika ndio wamekuwa waamuzi wa mustakbali wa Zanzibar, Kanisa ndio limekuwa linasikilizwa na kutoa ushawishi katika Serikali. Viongozi wa kiislamu wanadharauliwa ndani ya nchi yao na baadae wale makafiri ndio hupewa heshima zote.

Sisi tunataka Zanzibar yetu ambayo tutaishi kwa kuheshimiana na kulinda mila na desturi zetu. Tumechoka kulazimishwa kufuata mambo ya mila na desturi za kigeni. Tanataka tupumue.

Kuvaa mabomu na kujilipua hiyo ni hatua ya mwisho ya muumini kujitoa muhanga...Sitegemei kama tutafika huko, ila kama hakutakuwa na nia safi ya kutatua migogoro iliyokuwepo ,si ajabu tukifika huko. Hakuna kifo kizuri kama kufa wakati unalinda na kutetea heshima ya DINI YAKO, NCHI YAKO NA FAMILIA YAKO.
 
Yaleyale ya ubungo, mwenge na manzese...unajisikiaje sasa baada ya kuweka bandiko lako?raha? au ??

Ulitaka kujuwa ushetani uko wapi, au sio wewe? nakupa ushahidi wa ushetani, mwingine huu:

Religion wants to fit us with glasses; but the Lord wants to open our eyes.
Pope John Paul II is pictured in the above photo, with THE IMAGE OF DIVINE MERCY in the background. The image is unmistakably a New World Order [NWO] Masonic pyramid. The pyramid is a universal symbol of allegiance to the NWO. The Catholic Church is a big fraud, that will lead over one billion people people to sinfully worship the Beast (i.e., the coming Antichrist).

Source:
http://www.jesus-is-savior.com/False%20Religions/Roman%20Catholicism/hail_mary_hail_satan.htm

Na huu jee?: ‘Satanic' art in Catholic Church exposed

Kausome huko ujuwe ushetani uko wapi.

Ingieni kwenye dini ya haki na ukweli mmekazania kufata masanamu.

Haaaaaaaaaaaaaaaaaah Hilo Jeshi la hiyo nchi hatari. Jeshi la nchi fulani linaajira Wageni sielewi.!
 
Ulitaka kujuwa ushetani uko wapi, au sio wewe? nakupa ushahidi wa ushetani, mwingine huu:

Religion wants to fit us with glasses; but the Lord wants to open our eyes.
Pope John Paul II is pictured in the above photo, with THE IMAGE OF DIVINE MERCY in the background. The image is unmistakably a New World Order [NWO] Masonic pyramid. The pyramid is a universal symbol of allegiance to the NWO. The Catholic Church is a big fraud, that will lead over one billion people people to sinfully worship the Beast (i.e., the coming Antichrist).

Source:
http://www.jesus-is-savior.com/False%20Religions/Roman%20Catholicism/hail_mary_hail_satan.htm

Na huu jee?: ‘Satanic’ art in Catholic Church exposed

Kausome huko ujuwe ushetani uko wapi.

Ingieni kwenye dini ya haki na ukweli mmekazania kufata masanamu.

Usipende kuchefua wenzako wewe!! Maadui wa Dini ni wengi hebu angalia hii!! na wewe kama vizuri
Revisiting the Satanic verses in the Quran - Sura 22:52 and Sura 53:19-22 - YouTube
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom