Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.
this is very very stupid comment.
 
wakristo hawapaswi tuwajibu ndugu zetu kwa nguvu za hoja tulizonazo ili wajue kuwa mungu wetu anawapenda na yesu alimwaga damu yake ili wasitoe muhanga na waokoke.

Kuhusu shehe farid, hilo ni suala la usalama wetu wote na ni wajibu wa mtu mwenye taarifa akaripoti polisi ili wafanye uchunguzi.hawezi kuwa gaidi hadi pale itapothibitika hivyo. Na kama ni gaidi basi watu wote,bila ya kujali dini na familia zetu,tujihadhali nae kwani akilipua bomu litamuua yeyote aliye karibu bila ya kujali dini zetu.

gaidi namba moja tz ni polycape pengo anaefadhiliwa na vatican...
 
William Malecela alikuwa truck driver New york, Lazaro Nyalandu Bank worker Minesota, Nk wapo wengi tuu. Serikali ya CCM ni dhaifu, wanampakazia ili wamfukuze baada ya kishindwa kujibu hoja zake
 
that is the fact kama mtu sio mtanzania anatakiwa arudi kwao kwa kufutiwa uraia very simple

MUNGEANZA KUWAFUKUAZA WALE MAASKOFU/WACHUNGAJI/PADRI WENYE ASILI ZA KIGENI . AU KWASABABU WAO WANAONEKANA WANA RANGI NYEUSI KAMA YAKO, HIVYO HUNA MASHAKA NAO...

nini hasa kinamfanya mtu awe mtanzania?
 
Ni kweli kabisa zomba lakini lazima tujiulize maswali....
Huyu farid ni raia wa wapi???
Je hizi movement anazofanya zinafadhiliwa na kina nani???
Yupo nchini Tanzania ki halali???
Na je hicho anachokifanya ni kwa faida ya uislam kweli au kuna maslahi binafsi nyuma yake na sisi waislam kuishia kutumika kukamilisha malengo yake???
Tusipokua makini tutajikuta tumeangamia kwa manufaa ya waarabu ambao wanataka kufaidi kwa kutuchonganisha watanzania...si kweli ati kuwa wanatupenda saaaana lah! wanata kitu toka kwetu
Tusiwe wajinga maana huu ujinga ndio unatufanya tudharaulike na kuonekana magaidi

nini kinakufanya wewe uwe mtanzania? Farid amezaliwa Pemba ,Zanzibar. Wewe umezaliwa wapi?
 
huyo farida sijui ni gaidi hata ukimtazama utajua tu kuwa ni gaidi, kwaiyo katumwa kuja kufanya machafuko hapa???? ila ajue kuwa TZ ni watu tunae muomba sana mungu juu ya nchi yetu na ndio maana siri moja baada ya nyingine zinafichuka tena nabado na mtashangaa akirudishwa alikotoka, mimi nipo hapa.
 
duh wewe unaonekana ni mmoja wao,mbona umekuwa mkali na matusi juu au ndo umekunywa maji ya bendera ya uamsho,husikii huambiwi.hizi jazba ndo zinawafikisha pabaya, "hasira hasara yakheee" tulia.mbona mnawachukua wabara hivyo wakti wapemba wamejaa kariakoo na hakuna mwenye shida nao, sijui nani aliyewaloga jamani.
 
Kama ni watu kama hawa mnaimport ZNZ basi hamtapata NCHi tena. Kuanzia sasa mkidai ni kichapo tu!! Hamuwezi kutuletea magaidi karibu mkadai mnataka kujitenga! TPDF ingia kazini!!

Tulia wewe bado hujayaona...
 
Wakuu: Msichanganye mambo hapa jamvini. Issue sio kufanya kazi Oman wala kuwa na ndugu uarabuni.....Tatizo hapa ni mambo anayofanya, enayoeneza kwa jamii....yapo ki..alqaeda....ki ...el shabab zaidi...what a pity... mmnaomtetea...

Kuitetea nchi ya ZANZIBAR kuwa huru sio kosa kwamtazamo wa kizanzibari labda uwe wewe mtanganyika mkristo .
 
umesha wahi kumsikia PENGO anafanya ujinga kama hao wahuni wenu mnao waita mashekhe ubwabwa???? tena ninakwambia hao mashekhe ubwabwa wenu watarudi walikotoka, nipo sehem muhimu na ninajua kila kitu kinachoendelea na majibu ni baada ya muda mfupi tu subirini.

gaidi namba moja tz ni polycape pengo anaefadhiliwa na vatican...
 
MUNGEANZA KUWAFUKUAZA WALE MAASKOFU/WACHUNGAJI/PADRI WENYE ASILI ZA KIGENI . AU KWASABABU WAO WANAONEKANA WANA RANGI NYEUSI KAMA YAKO, HIVYO HUNA MASHAKA NAO...

nini hasa kinamfanya mtu awe mtanzania?

kwani wamejiteka wenyewe kama gaidi farid?
 
NA Kwa mujibu wa magazeti ya leo ni kwamba alifukuzwa jeshi la Qatar kwa kuwa ana matatizo ya akili
na ndo maana mnaona ana midevu kama beberu coz katika hali ya kawaida
binadamu yeyeto mwenye akili timamu hawezi kuachia midevu kiasi hicho
otherwise uwe na UKICHAA au UWE GAIDI

Kwa mawazo kama haya: Je hile picha inayochorwa katika mabango na katika Vitabu na Wale wanaomfuata Yessu mwana wa Mariamu, na yeye (Yessu) alikua KICHAA au GAIDI? Kweli nimeamini 85% ya wanaotumia Jamiiforums ni Vilaza wa kutupwa! Munatakiwa kumshukuru Mungu kwa ujio wa Wazanzibari hapa ukumbini maana munapata kukosolewa kinyume chake sijui hali ingkuaje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom