Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa. Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.
Hakuna sababu ya kusoma historia ya zenj! Jiulize tu! Anayoyafanya faridi weye au yeye mnaweza kuthubutu kuyafanya huko omani? Umebakia ooh wivu! Wee unaweza muonea wivu kichaa?
 
umesha wahi kumsikia PENGO anafanya ujinga kama hao wahuni wenu mnao waita mashekhe ubwabwa???? tena ninakwambia hao mashekhe ubwabwa wenu watarudi walikotoka, nipo sehem muhimu na ninajua kila kitu kinachoendelea na majibu ni baada ya muda mfupi tu subirini.

Sehemu muhimu uwepo wewe ? Kwa taarifa yako harakati za ukombozi wa Zanzibar zitaendelea mpaka kieleweke. Na lolote atakalofanyiwa Sheikh Farid ,hilo hilo litawakuta Maaskofu/Padri/Wachungaji huu sio wakati wa kuchezeana tena.
 
sembuse osama RIP alishindwa ndiyo wewe mpenda ubwabwa
 
Hivi haya matusi na kejeli yanatoka kwenye mawazo ya mtoto mwenye wazazi??
Nasikia huko Unguja ushoka ni jadi, labda huyu naye ni adopted son
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
 
Uraia wa nchi mbili kwa wenzetu wa visiwani ni kitu cha kawaida!Sijui sisi watanganyika kinatusumbua kitu gani! Hebu Barubaru njoo uwape evidance kutoka kwako wewe mwenyewe.
 
Sehemu muhimu uwepo wewe ? Kwa taarifa yako harakati za ukombozi wa Zanzibar zitaendelea mpaka kieleweke. Na lolote atakalofanyiwa Sheikh Farid ,hilo hilo litawakuta Maaskofu/Padri/Wachungaji huu sio wakati wa kuchezeana tena.
Maaskofu wanatokea wapi tena?? au wao ndio wanaomshikilia shehe Faridi?
Kweli watu wana akili zao za mkia wa mbuzi
 
Maaskofu wanatokea wapi tena?? au wao ndio wanaomshikilia shehe Faridi?
Kweli watu wana akili zao za mkia wa mbuzi

Haki itapatikana kwa wote au itakosekana kwa wote... siwezi kilipigia magoti sanamu halafu nisubiri jibu.
 
Sasa unatutisha au? Mdharau mwiba humchoma, hamujatutisha bado labda tuwacheke tu, na ndege za kizamani hata take off imeshindwa. Kuna mataifa mengi yana intrest na zanzibar, mtupige kwa sababu ipi ambayo itawaridhisha UN? Mnataka kuiba ziwa la watu? Heheheehee afu nimesahau, shekh faridi anatembea na majini hujaskia iyo?

Chezea JWT @ CCM uone yeye kama anatembea na jini mbona ata Mimi nakaa nalo shekh? Farid asiwaponze tukawameza mazima ndoa hii haitovunjika maisha tutaendelea kuwalea tuu ila this time kwa bakora tuu hakuna kukaa mezani yakhe!
 
Historia yake farid inadaiwa ni mtu hatari kwa watanzania.

- imebainika ana asili ya yemen ambako ndiko wazazi wake wamezaliwa kabla ya kuingia nchini Tanzania.
- Asili yake ndio inamfanya kutokuwa na uchungu na Tanzania na yuko tayari kufanya lolote.
- aliwahi kuajiriwa na Jeshi la ulinzi la Qata lakini alifukuzwa kazi.
- Farid amewahi kushiriki na kuhudhuria mafunzo mbalimbali ya mtandao wa Al Qaeda katika nchi za Uarabuni ikiwemo Yemen, Sudan na Afighastan.
- ana ujuzi wa kigaidi hata kitendo chake cha kujiteka na kujitokeza na mbinu za ugaidi za kuchochea vurugu nchini.
-

chanzo, vyombo vya usalama kwa mujibu wa gazeti la Jambo leo 24 Oct 2012
 
Historia yake farid inadaiwa ni mtu hatari kwa watanzania.

- imebainika ana asili ya yemen ambako ndiko wazazi wake wamezaliwa kabla ya kuingia nchini Tanzania.
- Asili yake ndio inamfanya kutokuwa na uchungu na Tanzania na yuko tayari kufanya lolote.
- aliwahi kuajiriwa na Jeshi la ulinzi la Qata lakini alifukuzwa kazi.
- Farid amewahi kushiriki na kuhudhuria mafunzo mbalimbali ya mtandao wa Al Qaeda katika nchi za Uarabuni ikiwemo Yemen, Sudan na Afighastan.
- ana ujuzi wa kigaidi hata kitendo chake cha kujiteka na kujitokeza na mbinu za ugaidi za kuchochea vurugu nchini.
-

aliyebaini ni nani ????wewe, gazeti, kanisa, chadema au serikali ??
 
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

mnawapenda waraabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom