Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Asubuhi ya leo masikio yangu na majicho yameshuhudia jambo ambalo nilikuwa nikiliwaza kitambo juu ya UAMSHO likisemwa kwenye uchambuzi wa magazeti ktk kituo cha televisheni cha ATN.
Baadhi ya magazeti yamenukuu mamlaka za Zanzibar zikitoa ripoti ya awali kuhusiana na kiongozi wa UAMSHO, Sheikh Farid. Kwa mujibu wa magazeti, mamlaka za Zanzibar zimeeleza kuwa Sheikh Farid ni mzaliwa wa Qatar na kwa kipindi fulani hapo nyuma aliwahi kutumikia Jeshi la Nchi hiyo lakini aliondoshwa kutokana na matatizo ya akili.
Zaidi ya hayo, imeelezwa kuwa Sheikh Farid amewahi kuhudhuria mafunzo ya kijeshi katika kambi mbali mbali za kigaidi za Al Qaeda ikiwemo moja ya nchini Yemen. Wazazi wake ni wazaliwa wa Qatar na hata sasa wapo huko ambako imeelezwa yeye (Sheikh Farid) hutembelea mara kwa mara.
Ninachojiuliza mimi juu ya ndugu zetu wa Visiwani walioleta ushabiki kwa mambo yanayoasisiwa na wageni tusiojua nia zao, huku si kuiuza Zanzibar kwa Waarabu? Tangu mwanzo nilimtilia mashaka mtu huyu kuwa anafadhiliwa na waarabu huko Qatar au kwingineko kuleta vurugu na mgawanyiko Zanzibar na azimio lake la kwanza ni kuhakikisha Muungano unavunjika ili iwe rahisi kwa waaarabu kujitwalia Zanzibar.
Haya sasa mliokuwa mkimsapoti na kutumia dini yenu kumsetiri mshukiwa huyu wa ugaidi jitazameni mtasimamia wapi katika hili. Wakati huyu mwenzenu anaanzisha fujo na umwagaji damu, tayari ana makazi ya kumsetiri huko Qatar waliko wazazi wake, je nyie mtakimbilia Mombasa tena?