Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Nadhani muheshimiwa hata kama umechukizwa na hoja za wachangiaji wengine lakini kumwaga matusi kwa watanganyika si busara. Jibu hoja kwa hoja yenye nguvu na toa fact kukanusha yaliyosemwa na wengine lakini kutukana si utamaduni mzuri.
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
waarabu wa wapemba wanajuana kwa vilemba
 
wivu wako nini wewe na Faridi
si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu
Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya
Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.

Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa
huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na
Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa
vile walikuja na kuoa na kuzaa.

Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi
mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.

We vipi? kosa sio kufanya kazi! ila ye kajiunga na jeshi la Qatar kwa uraia gani? unajua sifa za kujiunga na jeshi?
 
By abdul 28 hizi ni akili za
kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar
ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu
weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot
na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman
dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho
mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa
wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na
muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa
hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika
wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio
mbakie huko huko kwenu Gulf kwa babu zenu muiache znz yetu na muungano wetu,you slave caravan's bastards.mss!
mpemba Vs.muunguja cuf Vs ccm
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha
kama ulikwenda shule, elimu yako ni sawa na mtoto aliyezaliwa leo, oooppss hata ye anakuzidi koz anajua nikihitaji maziwa nilie, ili nipewe! Kwanza acha kutukana watu mbuzi, kazin yangu ni ndugu yako damu, wamfahamu na kazaliwa na baba yako. Kama yeye ni mbuzi, basi baba yako beberu! Lete hoja za maana na acha kutusi watu! Cc wote ni ndugu, haijalishi muungano utakuwepo au kuvunjwa!
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha

Mbuzi ni babaako aliyeshindwa kukufundisha adabu. Haya maneno ndio muongozo wa dini yako na Farid bila shaka kwani kwenye mikutano yenu ya hadhara huwa yanasikika sana.

Hii mentality ya kuamini kuwa Allah ni mwarabu ndio inawafanya muamini kuwa mwarabu anachosema ndio sawa. Wewe tetea ujinga, lakini jua kwamba mwenzenu Farid atakimbilia Qatar kwa mama yake akanyonye, wewe ukiwa safarini kukimbilia Mombasa, kamtumbwi kako katakuwa mashakani kwani KMKM watakuwapo huko kumkamata kila aliyeshiriki fujo.
 
Profesa Shivji ni muhindi wa Kashmir mbona mumekaa kimya acheni chuki .

Mytake: QURAN TUKUFU INASEMA HAWATA WAPENDA WAYAHUDI WALA WAKIRISTO MPAKA MFATE MILA YAO NA NDIO YANAYO TOKEA HAPA TZ.
Sasa wewe unataka kupendwa c ufuate mila yao, au hutaki KUPENDWA?
 
Mmeshindwa kutugombanisha kwa dini sasa mnahamia rangi,Hakika ya Mungu hamatashinda!Ukichoka kukaa Zanzibar ya waafrika kwa amani na utilivu nenda kakae na waarabu wenzio!This is Africa for Africans and that is never going to change!Zanzibar is in Africa and in Tanzania!If you are not happy Leave Africa,Leave Tanzania in peace!U dont have rights to claim anything in Zanzibar if u r not a an African and eventually Tanzanian!

Seriously?!! Ukapimwe brain yako ndugu!
Kwani kuwa africa lazima uwe na Ngozi nyeusi kama yako? Unajua maana ya Africa lakini? Hebu tizama nchi zilizopo kaskazini wana ngozi nyeupe kisha wanaongea kiarabu, aliekwambia kama zanzibar ni ya watu weusi peke yao nani? Mlikua mnatembea uchi nyinyi na mpaka lei swaziland wanawake wanaekwa uchi, hata nguo hamujui ndo nini, mnakaa mnawapapatikia wazungu, haya basi pitisheni ushoga, maana waafrika weusi ndo mnaonekana hamujiwezi ata kidogo, mnapitishiwa ushoga mnakubali kisa ya umaskini, ninawaapia kuwa mataifa ya Africa siku zote yataendelea kuwa tegemezi! Kama unawachukia waarabu ndugu yangu pole, waarabu hawataki ujinga wenu, mtabaki kuendeshwa na kutumwa bila kujitambua! Pole mwafrika pekee mweusi!!!
 
Profesa Shivji ni muhindi wa Kashmir mbona mumekaa kimya acheni chuki .

Mytake: QURAN TUKUFU INASEMA HAWATA WAPENDA WAYAHUDI WALA WAKIRISTO MPAKA MFATE MILA YAO NA NDIO YANAYO TOKEA HAPA TZ.

na wewe ni kama yeye!?, hiyo ID yako NZURI
 
Dahh! Wewe kweli Intelegencia ila umesahau moja. Alishawahi kunyongwa Mara Tisa akanusurika, ashalawitiwa Mara mia bado kuchomwa moto Kama kibaka ndio kabakiza.....Nyie wa znz jifikirieni Mara mbili maana mkizidisha kiherere tunawachapa na Zanzibar inakua moja ya Ma jiji ya Tanzania. Simmeona ponda alichofanyiwa na wazee wa piga ua? Mbona Hawakuendelea kuandamana na jamaa ananyea ndoo? Kuliko mtuletee magaidi sababu ya uvivu wenu bora tuwafute kwenye ramani ya nchi mbaki kuwa jiji

Sasa unatutisha au? Mdharau mwiba humchoma, hamujatutisha bado labda tuwacheke tu, na ndege za kizamani hata take off imeshindwa. Kuna mataifa mengi yana intrest na zanzibar, mtupige kwa sababu ipi ambayo itawaridhisha UN? Mnataka kuiba ziwa la watu? Heheheehee afu nimesahau, shekh faridi anatembea na majini hujaskia iyo?
 
HUYU NDIO ANAJIPAMBANUA KWA HISIA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WENGINE HASA WATU WA BARA (ANAO WAITA WATANGANYIKA):

1. hizi ni akili za kitanganyika: Ni dhahiri kabisa huyu anawakilisha kundi wa watu wa visiwani wenye wingu la chuki vifuani mwao dhidi ya watu wa culture zingine toka bara kiasi cha hata wangependa wafe na imani/ibada zao zifulitiwe mbali. Kuchomwa makanisa si bahati mbaya ni chuki nzitona mbaya za watu hawa

2.
watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira: hiki ni kielelezo cha matamanio (covet) ya nchi hizo za kiarabu kwa visiwa hivi. inamaana ukifika huko alikosema na ukisema ukweli kuwa wewe ni kutoka bara utakiona cha moto. Hence hii ina conlude kuwa chuki dhidi ya wabara na hamu ya kuvunja muungano inaoriginate nchi hizo za ughaibuni. Si ajabu kuna agents hao wapo kibao visiwani kuhakikisha wabara na wavisiwani wasipikike chungu kimoja na muungano uvunjike ili wao watawale visiwa.

3. mbuzi nyiee: Ni tusi dhahiri dhidi ya viumbe wenzako walioumbwa na Mwenyezi Mungu. Huu ni ushahidi kuwa ukidai vurugu zinazoendelea ni kutetea dini ni uongo wa mchana kweupe. Hapa dini ni kichaka tu lakini ukweli ni harakati za kihalifu, upagani, kishetwani na mwisho ni uchochoro kutekeleza kazi waliyotumwa ya uhaini na ugaidi.

4.
tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika: Conclusion ya point namba 2 above

5. wazzanzibar ndio mabasha: Tusi la kishetani kabisa. Jamani hawa watu wasitumie kichaka cha dini eti sijui uamsho. Ni waongo hakuna uislamu hapo. kumbuka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake. Hapa ni the devil himself at work hakuna Mungu hapo!
Sina cha kuongeza hapa
 
huyu ndio anajipambanua kwa hisia za chuki dhidi ya watu wengine hasa watu wa bara (anao waita watanganyika):

1. hizi ni akili za kitanganyika: ni dhahiri kabisa huyu anawakilisha kundi wa watu wa visiwani wenye wingu la chuki vifuani mwao dhidi ya watu wa culture zingine toka bara kiasi cha hata wangependa wafe na imani/ibada zao zifulitiwe mbali. Kuchomwa makanisa si bahati mbaya ni chuki nzitona mbaya za watu hawa

2.
watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira: hiki ni kielelezo cha matamanio (covet) ya nchi hizo za kiarabu kwa visiwa hivi. Inamaana ukifika huko alikosema na ukisema ukweli kuwa wewe ni kutoka bara utakiona cha moto. Hence hii ina conlude kuwa chuki dhidi ya wabara na hamu ya kuvunja muungano inaoriginate nchi hizo za ughaibuni. Si ajabu kuna agents hao wapo kibao visiwani kuhakikisha wabara na wavisiwani wasipikike chungu kimoja na muungano uvunjike ili wao watawale visiwa.

3. mbuzi nyiee: ni tusi dhahiri dhidi ya viumbe wenzako walioumbwa na mwenyezi mungu. Huu ni ushahidi kuwa ukidai vurugu zinazoendelea ni kutetea dini ni uongo wa mchana kweupe. Hapa dini ni kichaka tu lakini ukweli ni harakati za kihalifu, upagani, kishetwani na mwisho ni uchochoro kutekeleza kazi waliyotumwa ya uhaini na ugaidi.

4.
tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika: conclusion ya point namba 2 above

5. wazzanzibar ndio mabasha: Tusi la kishetani kabisa. jamani hawa watu wasitumie kichaka cha dini eti sijui uamsho. Ni waongo hakuna uislamu hapo. Kumbuka kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake. Hapa ni the devil himself at work hakuna mungu hapo!
u have said it ol my jf mate!!!! Aiseeee hapo ndipo huwa namshukuru sana muumba wangu, kuniumba mkristo!
 
Saa nyingine huwa najiuliza, Mamods wanakuwa wapi? Yaan off points kwa njia ya mitusi ruksa, ila tigo active pictures?
 
hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha

Abdul,
Katika dunia ya wastaarabu au watu wenye maarifa sahihi, wasifu wa mtu kuelezewa ama kudadisiwa si chuki, vita wala tatizo. Najua wewe pia ni mfuasi wa huyo shehe. Lakini kama unataka dunia imuone ni mtu safi, huna sababu ya kung'aka pale watu wanapoanza kuperuzi wasifu wake. Ni vizuri kama unataarifa zaidi uziweke hapa ili dunia ijua kwamba, kufanya kazi kwake katika jeshi la Qatar kama rubani, na kuhudhuria kwake mafunzo ya alqaeda, havina madhara wala uhusiano na vurugu anazoziendesha sasa kwa mwavuli wa kundi la uamsho. Pengine ingekuwa vizuri ungetutanabahishia undani wa histori zake hizo mfano alivyoingia jeshi la Qatar hadi alivyoacha na mafunzo ya Alqaeda yalikuwa kwa maslahi ya nani na usafi wake sasa unatokana na nini.

Ukianza kuwa mkali bila hoja, dunia hii ya kawaida iliyojaa wachambuzi wenye uelewa wataanza kuhoji nia yako na ufaham wako. Na ufaham kwamba, dunia usiyoijua, haiko tayari kuamrishwa kuishi maisha yanayonyima haki ya kureason na kutumia akili.

Sisi ni wamoja. Ni jambo la kueleweshana hapa ndilo linalotakiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom