Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

NI UHURU WA MAWAZO NA KUJIELEZA lakini kuna vitu LAZIMA VITIE SHAKA.
Si vibaya kuwa wazalendo kiasi cha kuona dalili ya hatari na kuwataarifu wenzako. Kuna mtu anajiita TAKASHI hapa JAMIIFORUMS nimemfatilia katika mada zinazohusu Muungano, Uamsho na mambo ya Sheikh Fareed amenishtua sana na comment zake. Laiti tungejua tutampataje, angesaidia sana polisi huyu. Si wa kumpuuza.
Kuna watu wengine pia humu wanapost katika jamii forums lakini mimi naona kama si watu wema sana. Wafuatiliwe watu wa aina hii, wanaweza kulipeleka Taifa kubaya.
Nawakilisha.
 
kuna kamtandao ka kigaidi kanajengwa dar,mombasa,kismayu,znz.waarabu hawaridhiki na mafuta yao?tuacheni tupumuwee!
 
Mbuzi ni babaako aliyeshindwa kukufundisha adabu. Haya maneno ndio muongozo wa dini yako na Farid bila shaka kwani kwenye mikutano yenu ya hadhara huwa yanasikika sana.

Hii mentality ya kuamini kuwa Allah ni mwarabu ndio inawafanya muamini kuwa mwarabu anachosema ndio sawa. Wewe tetea ujinga, lakini jua kwamba mwenzenu Farid atakimbilia Qatar kwa mama yake akanyonye, wewe ukiwa safarini kukimbilia Mombasa, kamtumbwi kako katakuwa mashakani kwani KMKM watakuwapo huko kumkamata kila aliyeshiriki fujo.

Hahaha! Hiyo mentality ya kuamini Allah ni muarabu mnayo ninyi msio kuwa waislam...

Allah hajazaa! Wala hajazaliwa.. na hafanani na kitu/ kiumbe chochote humu ulimwenguni ...
Quran ndinyo inavyosema... Mentality mungu wetu muarabu mnayo ninyi...
 
HUJAJIBU SWALI LANGU mr.dominick
leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD MWAIKENDA ,mwaikenda- hawa wote wamefukuzwa gazeti la majira na sasa richard mwaikenda ndio mpiga picha wa Gazeti la JAMBO LEO.


Zaidi tuu kuhusu huyu BENNY KISAKA ni kuwa toka miss tanzania imeanza mwaka 1994 yeye amepewa uwakilishi wa kitongoji cha temeke yaani HASHIM LUNDENGA kashindwa kumuani kusimamia ngazi ya mkoa licha ya kuwepo toka 1994Lundenga mwenyewe anasema jamaa hana ubunifu!


Haya mhariri mkuu wa gazeti la JAMBO LEO ni BONIFACE WAMBURA huyu alikuwa akiandikia michezo gazeti la majira akatimuliwa kwa tabia zake za ufisadi.


Na kaimu mhariri wa habari ni EDSON KAMUKARA aliyemaliza nyegezi miezi sita iliyopita hana uzoefu na hajui kazi…aliandaliwa interview na jamaa wa pale BOT akaingia mitini watu BOT walimsubiri weee mpaka!

Mhariri wa makala JOACHIM MUSHI ambaye ni binamu yake kisaka nae hana uzoefu wa kazi wala elimu, mhariri wa michezo WILLY EDWARD alifukuzwa gazeti la majira kwa sababu ya wizi akawa misheni town kwa muda mrefu.

By the way mpiga picha RICHARD MWAIKENDA ndiye aliyekuwa bosi wa benny kisaka majira kabla hawajafukuzwa wote. kwenye michezo kuna EDWARD KUMWEMBE huyu naye kafukuzwa habari corporation kwa kutokujua maadili ya kazi na kuheshimu mkataba wa kazi alikuwa habari corporation halafu anaandikia magazeti mengine ya mitaani. RUHIGO akamtimulia mbali.

swali gazeti hili la kila siku limasheheni waaandishi ambao wamefukuzwa kwenye vyombo vingine na limeshindwa kuchukua wataalam wa habari,wameshindwa kujifunza kwa mbowe wakati anaanzisha tanzania daima alichukua watu toka kona mbali mbali ili kupata flavour….

Sasa kichekesho ni mwenye Gazeti hili mwenyewe jina lake halipo hata sehemu moja na kijana ambaye ni msomi tuu lakini cha ajabu huyu bwana hapo chini ndiye anamweka front kumfanyia mambo yake…kwa madai kuwa washajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kwa mtazamo kuwa hili gazeti litakuwa leading daily paper in Tanzania within 6 months
11.jpg

Meneja Masoko wa bodi ya Utalii Tanzania Geofrey Meena kushoto akiwa na Juma Pinto mtanzania ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuutangaza utalii waTanzania nchini uingereza

sasa utamu zaidi ni kuwa huyu bwana katajwa kwenye kashfa ya UFISADI wa wizara ya utalii.
i549_utaliitanzania2.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada akili zake margeee na hilo la Jambo Leo limetunwa na linatafuta njia ya kuuza gazeti!

Haya basi sheikh faridi babake ni msaudia mamake ni yemen, yeye mwenyewe ameishi Oman kwa muda na alikua akitumikia intelligence ya Iran, alifanya biashara ya unga kutoka afghanistan akawa anauza syria kama ndio soko lake, alitumikia jeshi la qatar kwa miaka miwili kisha akaenda Russia kuongeza ujuzi wa kijeshi na aliporudi akawa anafanya kazi katika jeshi la palestine, alipoacha hapo alikuwa mwalimu mkuu katika kuwafundisha Al qaeda jinsi ua kutegua mabomu pamoja na kutengeza C-4 kwa kutumia vitu vya nyumbani, alikuwa anasaidia kifedha kikundi cha AL-shabbab pamoja na kuwapelekea silaha akitumia cheo chake jeshini alipokua akifanya kazi. Alijitoa muhanga katika 9/11 lakini yeye aliokoka,,,,,,, <---- mleta mada nenda kaseme na haya pia umeyasikia sawa? :-D

duuh nimeipenda hii, kesho unaweza kuikuta kwenye magazeti!
 
1) Raia wa Zanzibar

2) Zinafadhiliwa na Waislaam

3) Mzanzibari halafu unauliza yupo kwao kihalali?

4) Anachokifanya ni kwa faida ya Wazanzibari, kudai haki za Wazanzibari iwe anaedai muislaam au Mkristo kuna tofauti ipi?

5) Unawataja Waarabu kama vile ni mizuka wakati Zanzibar ni nchi yenye asili ya Kiarabu na ilishakuwa ni mtawala wa Oman. Na ilishakuwa na himaya kubwa sana ya kiutawala Afrika Mashariki. Kuukimbia uarabu Zanzibar na inawezekana Afrika Mashariki ni sawa na kukimbia kivuli chako! Utaweza?

6) Una nini wewe cha kutakwa na wengine wasicho nacho?

2. Waislam gani wanaofadhili zaidi ya kutumiwa?

4. Ni lini na wapi Farid aliwakusanya Wazanzibari na kuwauliza kama wanataka kuwakilishwa naye?

5. zomba, utumwa ni zao la mawazo ya mwanadamu. Utumwa huanzia ktk ubongo kama ulivyo umilionea. Zanzibar asili yake si Waarabu, waarabu walikuja kufanya biashara ya utumwa pamoja na kuwafundisha Wazaznzibar umwinyi na ushoga.

Hapo kwenye RED ndio disaster. Haya mambo ya kijinga ndio mnawafundisha watoto wenu halafu mnamlaumu Ndalichako. Lini Zanzibar iliitawala Oman? This is very strange and stupid! zomba, Oman Sultanate ilihamishia makao makuu yake Zanzibar na si kwamba ni Wazanzibar waliwatawala Waoman.

Wazanzibari wengi wamekuwa watumwa wa mwili na roho kwa waarabu kwa sababu za namna yako ya kufikiri, mfano mzuri ni Barubaru na wewe. Mpaka leo bado unamsujudia mwarabu aliyekuona kama nyani na kukuuza ukafanyishwe kazi mashambani huko Carribean na America!

Kweli Zanzibar ilipata UHURU lakini wananchi wake bado ni watumwa wa kimawazo wa waarabu.

Eti Zanzibar ilishakuwa mtawala wa Oman, shame on your madrassa maalim
 
Last edited by a moderator:
Kwani vile Angola walivyokuwa wanapigana kulikuwa na mkono wa waarabu ?
 
Hahaha! Hiyo mentality ya kuamini Allah ni muarabu mnayo ninyi msio kuwa waislam...

Allah hajazaa! Wala hajazaliwa.. na hafanani na kitu/ kiumbe chochote humu ulimwenguni ...
Quran ndinyo inavyosema... Mentality mungu wetu muarabu mnayo ninyi...

Kama allah sio muarabu basi acheni kuwadunda watoto madrasa kiuwalazimisha kujifunza kiarabu ambacho hakiwasaidii chochote kwenye soko la ajira zaidi ya kuandika albadiri.

Allah ana mabinti watatu Lat, Uzzah na Manat. Labda hakuwazaa ila anajua mwenyewe alivyowapata
 
@ Mwana mtoka Pabaya
Je wale waafrika walokamatwa kutoka Angola na kuuzwa utumwani hususan Brazil , walikamatwa na waarabu ?
waafrika, warabu na wazungu waliifanya hii biashara.
 
Vitu vingine vikisemwa ni vya kuomba MUNGU asamehe tuu. Wale vijana wa kiislamu wanaopata elimu SAUT na wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali zilizo chini ya uliyemtaja bila ubaguzi wakikusoma wanakuona sio mwenzi wao ila kichaa fulani.Pole sana kwa kukaririshwa mambo ya hovyo na Farid

Kichaa wewe na wenzio mnao abudu masanamu... Pengo ni GAIDI NO,1 TZ
 
quote_icon.png
By takashi

Sehemu muhimu uwepo wewe ? Kwa taarifa yako harakati za ukombozi wa Zanzibar zitaendelea mpaka kieleweke. Na lolote atakalofanyiwa Sheikh Farid ,hilo hilo litawakuta Maaskofu/Padri/Wachungaji huu sio wakati wa kuchezeana tena.
Maaskofu wanaingiaje hapo tena?
 
Mmeshindwa kutugombanisha kwa dini sasa mnahamia rangi,Hakika ya Mungu hamatashinda!Ukichoka kukaa Zanzibar ya waafrika kwa amani na utilivu nenda kakae na waarabu wenzio!This is Africa for Africans and that is never going to change!Zanzibar is in Africa and in Tanzania!If you are not happy Leave Africa,Leave Tanzania in peace!U dont have rights to claim anything in Zanzibar if u r not a an African and eventually Tanzanian!

Hicho chenyewe ni Kiarabu, sasa sijui utajificha wapi? au utaweza kukikimbia kivuli chako?
 
Km hamuamini kamuulize bashe km ni raia wa tz au la.........
Hata hivyo naamini iwapo marekani watasikia habari km hii na kuthibitisha ni dhahiri kuwa matunda ya maziara ya rais wetu ombaomba yatakuwa yameyeyuka km theluji kwani kusaidia tz itakuwa ni sawa na kufadhiri ugaidi......ningependa huyo gaidi anasota maisha gerezani au anyongwe km rafiki zake akina gadafi, sadamu hussein au osama bin laden
 
Huyu TAKASHI ananitia hofu kama ni Mtanzania mzalendo...hivi MODERATOR kama kuna jinsi ya kumjua anatokea wapi,amekaa kigaidi-gaidi sana.Anaweza kufanya lolote, najua hatanii kwa maneno haya inaonesha imani yake kabisa katika kufanya vurugu eti kuikomboa Zanzibar utadhani iko utumwani!!HAWA WATU WAKILELEWA WATAKUWA WASUMBUFU SANA na ndio wanaweza kuleta UASI kabisa.

Mimi sio msumbufu ila sitakaa kimya kuona dhaluma inayofanyiwa Zanzibar na Mfumo kristo kuendelea...Imani yangu inaniambia "ukiliona baya , lizuwie kwa mkono wako, kama huwezi basi toa kauli ya kilikemea"...natimiza wajibu wangu. Nyakati hizi sio zile zakutishana tena. Bila ya uhuru wa Zanzibar ,Tz inaelekea kubaya.
 
hizo ndizo hukumu za Chadema itavyochukuwa serikali???

Unaumwa wewe sio bure, tena unaumwa kichwani na ugonjwa wako ni wa ubongo. CHADEMA inahusiana nini na kunyongana kama sio unatapatapa. Umekosa jina la kiarabu (bwana zenu) mpaka ujiite dominick?

Adhabu za kunyongana, kukata kichwa, kucharaza bakora, kudunda mwanamke mawe mpaka afe kisa amezini ilhal aliyezini naye yupo huru na ndio kwanza anapanga kuzini na mke wa muongoza zoezi la upigaji mawe ni za Waarabu. Upo hapo bazazi wewe?
 
Kichaa wewe na wenzio mnao abudu masanamu... Pengo ni GAIDI NO,1 TZ

Kuna vichaa wengine saa hizi wanarushia mawe ukuta walioujenga wenyewe eti wanauita shetani. Wakirudi huko Idi ali haji.

Pengo hafugi majini ndio maana unathubutu kumtukana hata kama hajakukosea
 
2. Waislam gani wanaofadhili zaidi ya kutumiwa?

4. Ni lini na wapi Farid aliwakusanya Wazanzibari na kuwauliza kama wanataka kuwakilishwa naye?

5. zomba, utumwa ni zao la mawazo ya mwanadamu. Utumwa huanzia ktk ubongo kama ulivyo umilionea. Zanzibar asili yake si Waarabu, waarabu walikuja kufanya biashara ya utumwa pamoja na kuwafundisha Wazaznzibar umwinyi na ushoga.

Hapo kwenye RED ndio disaster. Haya mambo ya kijinga ndio mnawafundisha watoto wenu halafu mnamlaumu Ndalichako. Lini Zanzibar iliitawala Oman? This is very strange and stupid! zomba, Oman Sultanate ilihamishia makao makuu yake Zanzibar na si kwamba ni Wazanzibar waliwatawala Waoman.

Wazanzibari wengi wamekuwa watumwa wa mwili na roho kwa waarabu kwa sababu za namna yako ya kufikiri, mfano mzuri ni Barubaru na wewe. Mpaka leo bado unamsujudia mwarabu aliyekuona kama nyani na kukuuza ukafanyishwe kazi mashambani huko Carribean na America!

Kweli Zanzibar ilipata UHURU lakini wananchi wake bado ni watumwa wa kimawazo wa waarabu.

Eti Zanzibar ilishakuwa mtawala wa Oman, shame on your madrassa maalim

4) jibu lako ni hili:

img_72301.jpg

mamlaka.jpg
 
Kuna vichaa wengine saa hizi wanarushia mawe ukuta walioujenga wenyewe eti wanauita shetani. Wakirudi huko Idi ali haji.

Pengo hafugi majini ndio maana unathubutu kumtukana hata kama hajakukosea

Please notice the picture above with an upside-down cross. In his article, The Kingdom of Satan, Professor J.S. Malan says this about the inverted cross . . .
"This cross is not broken, but turned upside down. It indicates the rejection of Jesus Christ and contempt for the gospel of salvation. Inverted symbols are typical of the opposite values pursued by Satanists. People who are sometimes sacrificed to Satan on Black Sabbath are crucified upside down in accordance with this tradition."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom