Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna watu walikua wanasema Breaking Bad ni nzuri kuliko Prison Break, kwa kua sikuwahi kuiangalia nikasema weekend hii nitizame, aiseee kwanza wajitaje wenyewe na wachague adhabu mapemaaaa, kisha waiombe msamaha Prison Break mara 100 hizi ni dharau zilizopitiliza,

Ni kweli BB ni nzuri kulingana na story yake na rate ya utazamaji imeipita PB ila bado haiondoi kua PB ni baba lao, kuanzia 2005 hadi sasa, haijachuja, haijaboa na hakuna wa kuifikia.
 
Umeangalia hadi wapi?? Breaking Bad ni series kali mara 100 ya PB

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu walikua wanasema Breaking Bad ni nzuri kuliko Prison Break, kwa kua sikuwahi kuiangalia nikasema weekend hii nitizame, aiseee kwanza wajitaje wenyewe na wachague adhabu mapemaaaa, kisha waiombe msamaha Prison Break mara 100 hizi ni dharau zilizopitiliza,

Ni kweli BB ni nzuri kulingana na story yake na rate ya utazamaji imeipita PB ila bado haiondoi kua PB ni baba lao, kuanzia 2005 hadi sasa, haijachuja, haijaboa na hakuna wa kuifikia.
Kuna kitu kinaitwa mahaba, usipokuwa makini mara nyingi matumizi ya akili huwa ni madogo na hisia hutawala zaidi kuliko uhalisia!!!!!!!!!!!!

Huwa nashangaa watu wanaposema movie au series fulani ni bora wakati huo zinatofautiana story, wahusika, maeneo ya uigizaji, muda wa uigizaji,n.k!!!!!!

Kwa uzoefu wangu wa kuangalia movie na series vitu vikubwa ambavyo vitaifanya iwe bora ni vitatu ambavyo ni:

1)Wahusika (Characters)

2)Mandhari (Theme)

3) Matukio (Plot)

Unaweza kuwa na story nzuri lakini ikikosa hivyo vitu hapo juu itaonekana ni mbaya.

Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!
 
Umezunguka sana ungeenda moja kwa moja kwenye point yako, mada ni PB vs BB
 
Hapo huwezi sema PB ni kali zaidi ya BB na wala huwezi sema BB ni kali zaidi ya PB
Zote ni nazipa rating ya 8+
Kila moja ina ladha yake
 
Kwa mtazamo wangu mikwaju yote mikali, njooni huku kuna mkwaju naucheki BEL AIR
 
Nimeangalia hadi wapi tena? Kwa hiyo kuna sehemu ikifika ndio inaanza ukali wake? Maana nimeshamaliza season 2
PB kwanza ina matumizi ya akili, kila episode inapoisha inakupa hamasa kucheki next, story haichoshi kuanzia inavyoanza ni amsha amka mpaka mwisho naungana na wewe PB ni level nyingine ila breaking bad story yake imeanza slow
 
Umezunguka sana ungeenda moja kwa moja kwenye point yako, mada ni PB vs BB
kwanza ni series mbili zenye vionjo tofauti.

To me PB ni nzuri sana seasons 3 tu za awali, the rest sio kiivo, japo ni series nzuri sana ukiilinganisha na series nyingine kama Money Heist au Quantico. PB nai-rate 8/10

Breaking Bad ile ina vionjo mainly about drug dealing tena in local and middle levels. Kuna chemistry based issues na characters wamepangika. Nimeiangalia mara 2, nayo ni nzuri kwa upande wake. Nai-rate 9/10 nikiilinganisha na Power, Queen of South, Narcos, El Chapo na nyinginezo!

Vionjo vyangu c rahisi kufanana na vya wengine. So nawe una vionjo vyako.

Nashauri Imalize kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom