Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,652
- 15,646
Hii niliishia episode ya pili kisa ushoga1899 Netflix wameshaicancel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]hakutakua na season 2 labda itokee kampuni nyingi inunue rightsView attachment 2674732
Hivi huko episode ya 3 kwenda mbele iko poa au na kwenyewe wameendelea kujaza scenes zao chafu za kishoga
Maana series ni kali sana ila tulikosana hapo tu