Hii niliipenda sana I can't waitSeason 2 coming soon , Season 1 iliishia pazuri sana View attachment 2687137
Hii niliipenda sana I can't waitSeason 2 coming soon , Season 1 iliishia pazuri sana View attachment 2687137
Mbona mnaisifia sana?
Bado haijatokea kama breaking bad, bwana Gilligan alituliza ubongo paleKuna watu walikua wanasema Breaking Bad ni nzuri kuliko Prison Break, kwa kua sikuwahi kuiangalia nikasema weekend hii nitizame, aiseee kwanza wajitaje wenyewe na wachague adhabu mapemaaaa, kisha waiombe msamaha Prison Break mara 100 hizi ni dharau zilizopitiliza,
Ni kweli BB ni nzuri kulingana na story yake na rate ya utazamaji imeipita PB ila bado haiondoi kua PB ni baba lao, kuanzia 2005 hadi sasa, haijachuja, haijaboa na hakuna wa kuifikia.
Ya mwaka gani hii
Nzuri sanaaView attachment 2689093
Kuna anaye fatilia
Kalii mno yaaniNzuri sanaa
Kwa sababu ni kaliMbona mnaisifia sana?


Mimi teynaaaaa.....
Nimemuuliza hilo swali maana yeye hupenda kuuliza hilo swali na husema series/movie ikiwa na ushoga haangalii.
Asante kwa tahadhari naona kila mtu anasema viumbe wanakila watu usiku 😁😁😁Kwa sababu ni kali
Ila wewe achana nayo, Hakuna mkono humu![]()
Umetaja narcos nimekumbuka kitu hebu niambie ni series gani ambayo itaniweka chini wkend hii nisitamani kutembea yenye ufanano na breaking bad?Tuseme tu ukweli series zinanoga kuliko single
nacheki mzigo wa citadel na Narcos hapa
Narcos is the show that is probably most frequently suggested to the people that enjoyed breaking badUmetaja narcos nimekumbuka kitu hebu niambie ni series gani ambayo itaniweka chini wkend hii nisitamani kutembea yenye ufanano na breaking bad?
NarcosUmetaja narcos nimekumbuka kitu hebu niambie ni series gani ambayo itaniweka chini wkend hii nisitamani kutembea yenye ufanano na breaking bad?
Lem try first 3 episodesNarcos is the show that is probably most frequently suggested to the people that enjoyed breaking bad
Blinders nilijilazimisha mno kuipenda ikanishinda ni sawa na homelandNarcos
Peaky blinders
The wire
Better call Saul
Sopranos
Fargo
Narcos hutoiacha mkuu...kwanza simulizi zako Ni poa SanaLem try first 3 episodes
Na uzuri wa narcos wameportray matukio mengi ambayo yalishai kutokea miaka ya nyumaNarcos hutoiacha mkuu...kwanza simulizi zako Ni poa Sana
Kingine mazingira ya aina ile nayapenda Sana
Cha mwisho Mimi series zote zinazohusu drugs kingpins na story zao nazikubali mno naburudika sana
Kuwa makini kwenye ule mtiririko kuna narcos moja ina ushoga balaa dume kwa dume wanakulanaBlinders nilijilazimisha mno kuipenda ikanishinda ni sawa na homeland