kwanza ni series mbili zenye vionjo tofauti.
To me PB ni nzuri sana seasons 3 tu za awali, the rest sio kiivo, japo ni series nzuri sana ukiilinganisha na series nyingine kama Money Heist au Quantico. PB nai-rate 8/10
Breaking Bad ile ina vionjo mainly about drug dealing tena in local and middle levels. Kuna chemistry based issues na characters wamepangika. Nimeiangalia mara 2, nayo ni nzuri kwa upande wake. Nai-rate 9/10 nikiilinganisha na Power, Queen of South, Narcos, El Chapo na nyinginezo!
Vionjo vyangu c rahisi kufanana na vya wengine. So nawe una vionjo vyako.
Nashauri Imalize kwanza