Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,692
- 6,291
Anakumbuka vizuri, alistaajabu kuambiwa ameokotwa na kundi la wapanda mlima, vimchubuko kidogo ilhali alisukumwa kutoka juu ya tower, na akawa na shauku ya kujua yupo wapi...From s2 imeishia patamu sana aseee,tabitha sijui atakumbuka kule kwenye twn akawaokoe wenzake.
Labda Tabitha atakutana na Dada yake Victor Kule Town
Boyd ameweza kutuliza ile Hali ya wale wadudu, sasa cha kujiuliza ni je amesolve na ishu ya monsters..?? Na yule dogo wakati anamsukuma tabitha alimwambia "samahani, hii ndio njia pekee"
Ile puzzle aliyoitegua boyd ili kupata ile music box nahisi ataweza/wataweza ku solve puzzle nyingine,
but what exactly will happen to jade baada ya kuingia kule kwenye pango..??
Kwa ufupi S2 imeisha na maswali mengi mno
kwa ajili yako
hadi nimeikumbuka series ya 1899, walitufanya maboya kweli japo nasubiri muendelezo

hakutakua na season 2 labda itokee kampuni nyingi inunue rights