The big John anatumia Zaidi ya miaka 20 kufanya utafiti ni wapi meli ya matajiri ilizama na shehena ya dhahabu. Kwa BAHATI mbaya inatokea kutokuelewana na rafiki yake ambaye Huwa anamkodishaga boti yake KWENYE harakati ya kuitafuta the royal merchant gold. Wakiwa Kwenye boti
katikati ya kisiwa The big John anasukumwa na rafiki yake na kuangukia kitu chenye ncha Kali na kupoteza fahamu. Kwa hofo bwana Ward Cameroon akijuwa ameuwa pasipo kukusudia anaamua kuutumbukiza majini mwili wa The big John. The big John anaibukia ukingoni kisiwani akiwa na Hali mbaya Sana. Kabla hajafa anamwachia ujumbe wa sauti kijana wake JOHN B ambaye ni street boy kuwa njia pekee itakayemtoa Kwenye umasikini ni yeye kuifuatilia royal merchant gold ( meli ya matajiri iliyozama na shehena ya dhahabu) . Nini kiliendelea je John B ataipata royal merchant gold. Pia humu utajifunza ni jinsi gani Mapenzi yalivyo na nguvu ( The power of love, True love, True friendship, wrong decision)