Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ungeangalia trela youtube ukate kiu yako. Inaonekana wewe sio mpenzi wa series maana unauliza uliza sana.

Wapenzi wa series hawa wawe na taste zao ila kwenye series zenye actions na misheni za kijasusi huwezi kuwabandua
Kwani hakuna series za ujasusi ambazo si kali
 
wale wa OUTER BANKS, wakuu bado nipo Nassau Bahamas
tuko na pilotage za kuchukua ule mzigo wa gold ila Sarah amepigwa risasi na Rafe
 
Hivi Torrents link zinafanya kazi kwenu?? Maana tangu asubuhi zinaload tu natumia Magnet na tTorrent kama kuna mbadala tusaidiane...
 
Jamani mimi Napenda series za witchers na mavampire, yaani za mtindo huo zenye mapenzi. Naombeni majina
 
Hizi ndiyo series kali za watu wazima yaani unakaa unaangalia series imetulia. Sasahivi tushakuwa watu “age go” alafu mtu anakuletea sijui bel-air sijui cobra kai sijui sex education😂😂 yaani utoto mwingii
Blindspot nayo ni nzuri mkuu
Itafute
 
ukipata zingine za namna hii nitag mkuu, nmezitafuta sana. The resident kwangu hapo ni the best☺️☺️
Guys ukiachilia mbali
-Grays anatomy
-New Amsterdam
-The resident
-Chicago med
-The good doctor.
Kuna medical series gani zingine kali?
 
ukipata zingine za namna hii nitag mkuu, nmezitafuta sana. The resident kwangu hapo ni the best☺️☺️
Guys ukiachilia mbali
-Grays anatomy
-New Amsterdam
-The resident
-Chicago med
-The good doctor.
Kuna medical series gani zingine kali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom