Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wadau nina list nataka kupakua naombeni mnijuze ipi kali ya kuanza nazo kati ya hizi hapa ;

PRISONER OF WAR
QUANTICO
THE BEAUREA
THE UNIT
ENEMY WITHIN
THE AMERICANS
BERLIN STATION.
 
Cobra Kai
Serious, ninarecommend hii series
Screenshot_20230305-130018.jpg
 
N ile ile ya 2018 to present? Au nyingine?
Hiyohiyo ya 2018 ambayo final season inatoka mwaka huu.
Season 1 ni ya 2018 nimeiangalia kwa siku moja tu Ijumaa, ikaisha. Season 2 ni ya 2019 nayo nimeiangalia Jumamosi ikaisha. Season 3 ni ya 2020 nimeiangalia jana jumapili ikaisha, Season 4 ya 2021 naangalia Leo. Season 5 ya mwaka jana 2022 nitaiangalia kesho.
Hata kama ni ya 2018 kufikia final season ni rahisi kwa sababu season moja inachukua around 5 hours only.
Screenshot_20230306-122440.jpg
 
Wakuu naomba site ya kushusha ADVENTURE SIRES MAANA NATAKA KUCHEKI THE ROMAN EMPIRE
 
Kwa hayo mambo kuyakwepa kwenye movies ama series ni ngumu sana labda uamue kuacha kuangalia kabisa. Muhimu we fuata unacho taka
Siwezi kuyakwepa kwa sababu muvi lazima niiangalie cause sijui nini nitakikuta ndani ya hiyo muvi. Lakini nikijua kabla kuwa ina mambo ya ovyo siifuatilii
 
Series ambazo hazina ushoga ni kutoka bara la Asia japo na zenyew sikuhiz naona wanaanz kugusia
Siku hizi Wakorea nao wanapenda sana hayo mambo
Siku hizi muvi za Kikorea zinafuata mienendo ya Marekani karibia kila kona, naona hata idea za madirector kwenye Korean movies na American movies siku hizi zinaanza kufanana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom