Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mzigo wa "See" ni noma.
Wakuu katika hali ya kutafuta unafuu wa maisha nimeanzisha Group whatsapp ambalo nitakua napost link za movie zilizotiwa maneno ya Kiswahili na madj wetu hapa Tanzania. Kujiunga group hilo ni bure kila wiki nitakua napost single movie chache kwa ajili ya kuchangamsha na baadhi ya episode za series mbali mbali. Na kama utahitaji miendelezo ya hizo series ndio utalipia pesa kidogo ya vocha na kama utahitaji movie ambazo hazijatafsiriwa pia zinapatikana no za simu 0685192925

Whatsapp group link

Hizi ni baadhi ya Movie zitakazokuwepo ndani ya wiki hii ni bure kabisa kujipatia hizo single 2 Beckman na hiyo Gunman hiyo The Americans ni series utajipatia episode kadhaa za mwanzo bure ukitaka muendelezo utachangia pesa kidogo ya vocha.
Iyo link imexpire Mkuu, Kindly provide another one
 
March
20230217_110942.jpg
 
Ngoja tuone revenge la Franklin na wabaya wake sasa litakuwaje 🔥🔥
 

Attachments

  • Screenshot_2023-02-22-09-50-40-107-edit_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-02-22-09-50-40-107-edit_com.android.chrome.jpg
    92.2 KB · Views: 40
Wujing & former blacklisters versus Reddington & Task force
 

Attachments

  • Screenshot_2023-02-27-16-04-59-567-edit_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-02-27-16-04-59-567-edit_com.android.chrome.jpg
    64.5 KB · Views: 36
Naanzaje kufuatilia series za Tyler Perry kama Sisters na Oval?

Nipeni ushauri wadau.
 
Nina option 2 hapa, nianze kuangalia The Peripheral au nipite na Vikings?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom