Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wednesday
MV5BM2ZmMjEyZmYtOGM4YS00YTNhLWE3ZDMtNzQxM2RhNjBlODIyXkEyXkFqcGdeQXVyMTUzMTg2ODkz._V1_.jpg
 
Ata mimi nimetafuta sana hiyo Apples 🍎 TV+ sina natumia NETFLIX siku zote, Iyo PIRATE inapatikana wapi? Nielekeze kwa faida ya alieuliza na wengine wasiojua kama mimi
Kama umeelekezwa nielekeze namimi kuhusu Pirate
 
ChickMagnet
Pirate inapatikanaje?
Pirate ni kudownload kutoka kwenye torrents sites.

Mfano wa sites ni kama YTS kwa movies tu.

Kwa series na movies ( mchanganyiko )kuna sites kama TPB (the pirate bay ), KICKASS TORRENTS, EZTV, 1337X, LIME TORRENTS, na nyingine nyingi.

Jinsi ya kudownload kutoka katika hizo torrents inakupasa uwe na torrents downloader. Mfano wa torrents downloader ni kama UTORRENT, BITORRENT, FLUD na nyinginezo.

Hizi torrents sites na torrents downloader zina kitu kinaitwa magnet links. Hizi links zinakuwezesha ukishachagua movie au series unayotaka ukigusa download basi moja kwa moja itatokea kwenye torrents downloader ikikuuliza kama unataka kudownload. Kukubali utagusa alama ya kujumlisha means ADD na itaanza download sasa.

Kwa kifupi ni unaenda kwenye torrents sites unatype unachotaka, kikija chagua quality na size utakayo then ikifunguka kwenye downloader wewe gusa + ( ADD ) kisha ngoja imalize.
 

Attachments

  • Screenshot_20230207-144507~2.jpg
    Screenshot_20230207-144507~2.jpg
    26.4 KB · Views: 41

Similar Discussions

Back
Top Bottom