allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,167
- 786
Iv hili dude ni Kali ??huwa nalipita tu ,unairate ngp hii mkuu¿Acha nimuangalie chapoo
Na kati ya El chapo na Narcos ipi n moto??
Iv hili dude ni Kali ??huwa nalipita tu ,unairate ngp hii mkuu¿Acha nimuangalie chapoo
Narcos ,Narcos mexico , alf ndo el chapoIv hili dude ni Kali ??huwa nalipita tu ,unairate ngp hii mkuu¿
Na kati ya El chapo na Narcos ipi n moto??
Npo season 6 ep ya 7,so far nmemuelewa sana Leon,Wanda, Skull na Jorome,wapo real sana,kingne nmependa zile scenes za Ghana,wamejitahidi mno!!Leo nimemaliza kuchek SNOW FALL ni bonge la series kwanza nimepanda walivyomaliza wameua sana na wamejua sana
Wahusika wote wako powa sana ila Leon nimekumbali sana na ss mam yake Frank ni maa haswa amefanya vitu vingi kma mama hakika nime enjoy sana TV SERIES HII KALI je TV SERIES GAN TENA KMA HII?





Hyo the skull kwanza nimejifunza kusameheNpo season 6 ep ya 7,so far nmemuelewa sana Leon,Wanda, Skull na Jorome,wapo real sana,kingne nmependa zile scenes za Ghana,wamejitahidi mno!!
Pia Kama hujaiona Power Universe zitafute,apo Kuna Power original, ikiisha Kuna Ghost Power book II,Kuna Raising Kanan na kuna book iv Force zote ni story moja lakini ni![]()
Kwa jinsi alivyokua personality yake,baada ya Khadija kuuliwa nkajua ndo imeisha io kwa Louie,lakin jamaa akasamehe alafu fresh akaendelea kufanya nao biashara.,kingine ile accent yake tuHyo the skull kwanza nimejifunza kusamehe




Daaaaah aisee.Nani anafuatilia Citadel? Naona inanoga
Asante kwa taatifa 😁😁😁
Picha hazifunguki, ni ipo?
FUBAR ya anordPicha hazifunguki, ni ipo?
Mkuu unawez kuongezea black list na criminal mind zinafaa piaaIt depends na themes so me nitaweka themes zote generally and among my best.
1. Game of Thrones
2. Sons of Anarchy
3. Breaking Bad
4. Ozark
5. House
6. Grey's Anatomy
7. Heroes
8. 24
9. Alias
10. Prison Break
11. Desperate Housewives
12. Nikita
13. Spartacus
14. Money Heist
15. Supernatural
16. Elite
ETC and many many more
Basi ngoja nishushe narcos kwanza, niipotezee el chappoNarco iko pow kuliko ya El chapo kwa mtazamo wangu mkuu