Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nakubaliana na wewe ndugu,matukio mengi wamefanya rahisi rahisi sana mpaka inapoteza utamu wa kuangalia….Hata rabitt hole nayo matukio mengi wameweka rahisi rahisi sana….mfano jamaa anatafutwa kwa mauji picha yake ipo kila kona mpaka kwenye tv bado anaenda polisi kirahisi rahisi tu na kutoka.
Kuna sehemu nilicheka sana, wakati peter anatoroka ikulu, peter alipita chini kwa chini (basement) akatokea mlango upo mtaani kbsa... Hata kama ni movie haipaswi kuwa kutoroka ikulu ni rahisi vile
 
Wakuu Kuna hi series inaitwa zero zero zero no kutoka kampuni ya Amazon prime aisee ni 🔥🔥🔥
images (3).jpeg

images (1).jpeg

Introsagvert, Mafian cartel, Mr Q
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom