Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pakuaa mkuu. Maoni yangu hii series kuna matukio wameyarahisisha sana kama tukio la epsode ya 10 rais anatekamtwa kirahisi hivyo na mtu kisha aanaanza kuwashurutisha walinzi kwa ujumla sioni kama ilipaswa kuwa rais hivyo. Kingne wameshaambiwa kuna tishio la bom mtu anaenda kukagua kwa macho maana sijaona mtaalam wa mabom hapo tena mwenye vifaa. Kingne tishio la bom liko kwenye helcopiter ambayo madam presdent yuko karibu na helkopta ile angalau hao secret service wangemuondoa kwa kuwek tahadhali zaid, na mwisho kabisa kiulinzi haijalishi kuna tishio kiasi gani anayetakiwa kumshika rais ni special unity pekee lkn pale unaona kashikwa na kijana ambaye anafanya kazi ikulu lkn siyo mlinzi maalum wa rais na anawatia mkwara wakimsogelea atamdhuru kiongoz je kwenye kikos hiko hakuna sniper au mlengaji maalum kwenye dharula kama hiyo?? Yote kwa yote kazi iko vizuri mkuu
Night Agent ni kazi nzuri na wana idea murua ila kuna matukio hawajaumiza sana kichwa. Mf Peter na Rose yaani wanajua kila kitu, wanaomba msaada kdg sana.

Kuna ile last battle ya mwisho, Peter alitoka nowhere eti tayari kashamteka rais!

Halafu upinzani kutoka kwa wale Special forces/secret services yaani Peter kawapiga wote tena sio kwa mtanange mtata!

Camp David kwenyewe ulinzi haukua kiivo...yaan hakuna hata Thermo detectors!

Matukio mengi easy to predict!

Wafanyie kazi mapungufu, kama kuna SO2 itakua poa zaidi!
 
Kikubwa Peter alikula kimasihara hajatuangusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakuaa mkuu. Maoni yangu hii series kuna matukio wameyarahisisha sana kama tukio la epsode ya 10 rais anatekamtwa kirahisi hivyo na mtu kisha aanaanza kuwashurutisha walinzi kwa ujumla sioni kama ilipaswa kuwa rais hivyo. Kingne wameshaambiwa kuna tishio la bom mtu anaenda kukagua kwa macho maana sijaona mtaalam wa mabom hapo tena mwenye vifaa. Kingne tishio la bom liko kwenye helcopiter ambayo madam presdent yuko karibu na helkopta ile angalau hao secret service wangemuondoa kwa kuwek tahadhali zaid, na mwisho kabisa kiulinzi haijalishi kuna tishio kiasi gani anayetakiwa kumshika rais ni special unity pekee lkn pale unaona kashikwa na kijana ambaye anafanya kazi ikulu lkn siyo mlinzi maalum wa rais na anawatia mkwara wakimsogelea atamdhuru kiongoz je kwenye kikos hiko hakuna sniper au mlengaji maalum kwenye dharula kama hiyo?? Yote kwa yote kazi iko vizuri mkuu
Nilisema hii kuhus hii series
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom