Dejane
Franky Samuel
jiwe angavu
kesho ntawawekea season na serias kali ambazo hamjawahi kuzisikia popote
dejane wewe kuna series inabidi uangalie ntakupa 3
KOPA speak![]()
Episode 1 ya night agent nimeipenda sijui mbele itakuwaje ila inanipa promise ya kuwa ni series nzuri. Sijaona ushoga humo. Nimeona ladha fulani niliyo ikosa muda mrefu baada ya kina 24, mission impossible blacklist tread stone n.k.siku hizi hakuna season wala series zote kazi mbovu utakuta mtu anasifia huu upuuzi hapa chini
pearkly bleender
tehran
the night agent
gotham knight
tulsa king
the spy
na nyingine nyingi tu yaani ni upuuzi tu
Bora umetutahadharisha naona kijana hapo mtanashati amerembua jichoBel Air
Nyie hii series ni tamu sana. Wazee wa action msiguse huku.View attachment 2570700
Bel Air
Nyie hii series ni tamu sana. Wazee wa action msiguse huku.View attachment 2570700
Itakuwa za walamba lips za midomoInahusu nini hii
Mkuu nilikuwa najaribu kukuandikia inahusu nini nikajikuta naandika story yote,nimeamua kufuta tu insha niliyoandika, kuelezea kwa ufupi siweziInahusu nini hii


Ni vizuri nimewatahadharisha ila nawaonea huruma maana mnakosa mambo mazuri sanaBora umetutahadharisha naona kijana hapo mtanashati amerembua jicho


ushoga episode 5 kwa mbaali walitaka kuanzaEpisode 1 ya night agent nimeipenda sijui mbele itakuwaje ila inanipa promise ya kuwa ni series nzuri. Sijaona ushoga humo. Nimeona ladha fulani niliyo ikosa muda mrefu baada ya kina 24, mission impossible blacklist tread stone n.k.
Unanishangaza unapo ikubali homeland na banshee halafu night agent unaisagia kunguni
Idondoshe huko boxin haraka sanaKuna thread ya list za series za kila weekend, hii mtu akiitaka aje inbox apate link, ngetoa apa ila sio salama kwa kulinda u anonymity
The last of us ni series nzuri
Joel na yule mtoto wa kike wameupiga mwingi!
Kaka hii series Ni nzuri kwa kweli but kuhusu ushoga Hakuna series ambayo haina ushoga Ni chache kwa kweli hata hii ya night agent ushoga nimeona upo even if haujaonyeshwa bado,yule professor aliyekuwa mwalimu wa meddle mtoto wa makamo wa rais alikuwa na mahusiano na Matteo aliyehusika kwenye metro bomming ambaye mwishoni alimteka MaddieEpisode 1 ya night agent nimeipenda sijui mbele itakuwaje ila inanipa promise ya kuwa ni series nzuri. Sijaona ushoga humo. Nimeona ladha fulani niliyo ikosa muda mrefu baada ya kina 24, mission impossible blacklist tread stone n.k.
Unanishangaza unapo ikubali homeland na banshee halafu night agent unaisagia kunguni
Series ni nzuri episode ya 7 nio makamu wa raisi anapewa maneno magumu ba kale kabibi ka usalama juu ya mwanae aliyetekwaKaka hii series Ni nzuri kwa kweli but kuhusu ushoga Hakuna series ambayo haina ushoga Ni chache kwa kweli hata hii ya night agent ushoga nimeona upo even if haujaonyeshwa bado,yule professor aliyekuwa mwalimu wa meddle mtoto wa makamo wa rais alikuwa na mahusiano na Matteo aliyehusika kwenye metro bomming ambaye mwishoni alimteka Maddie
Namalizia kupakua nicheki yaliyomoNimetoka kuingalia hapa na ndio nilikuwa nakuja kuweka maoni wadau waitafute, mzigo umesimama kwa miaka ya hivi karibuni sijaona mzigo kama ule season 2 inatoka 2024
Pakuaa mkuu. Maoni yangu hii series kuna matukio wameyarahisisha sana kama tukio la epsode ya 10 rais anatekamtwa kirahisi hivyo na mtu kisha aanaanza kuwashurutisha walinzi kwa ujumla sioni kama ilipaswa kuwa rais hivyo. Kingne wameshaambiwa kuna tishio la bom mtu anaenda kukagua kwa macho maana sijaona mtaalam wa mabom hapo tena mwenye vifaa. Kingne tishio la bom liko kwenye helcopiter ambayo madam presdent yuko karibu na helkopta ile angalau hao secret service wangemuondoa kwa kuwek tahadhali zaid, na mwisho kabisa kiulinzi haijalishi kuna tishio kiasi gani anayetakiwa kumshika rais ni special unity pekee lkn pale unaona kashikwa na kijana ambaye anafanya kazi ikulu lkn siyo mlinzi maalum wa rais na anawatia mkwara wakimsogelea atamdhuru kiongoz je kwenye kikos hiko hakuna sniper au mlengaji maalum kwenye dharula kama hiyo?? Yote kwa yote kazi iko vizuri mkuuNamalizia kupakua nicheki yaliyomo
Kaka Kama uliangalia vizuri kulikuwepo n sniper but before hajafanya yake ukatokea ule mlipuko ,all in all hawawezi kuwa perfect kwa kila sehemu but Ni series nzuri kwangu toka mwaka huu uanzePakuaa mkuu. Maoni yangu hii series kuna matukio wameyarahisisha sana kama tukio la epsode ya 10 rais anatekamtwa kirahisi hivyo na mtu kisha aanaanza kuwashurutisha walinzi kwa ujumla sioni kama ilipaswa kuwa rais hivyo. Kingne wameshaambiwa kuna tishio la bom mtu anaenda kukagua kwa macho maana sijaona mtaalam wa mabom hapo tena mwenye vifaa. Kingne tishio la bom liko kwenye helcopiter ambayo madam presdent yuko karibu na helkopta ile angalau hao secret service wangemuondoa kwa kuwek tahadhali zaid, na mwisho kabisa kiulinzi haijalishi kuna tishio kiasi gani anayetakiwa kumshika rais ni special unity pekee lkn pale unaona kashikwa na kijana ambaye anafanya kazi ikulu lkn siyo mlinzi maalum wa rais na anawatia mkwara wakimsogelea atamdhuru kiongoz je kwenye kikos hiko hakuna sniper au mlengaji maalum kwenye dharula kama hiyo?? Yote kwa yote kazi iko vizuri mkuu
Mkuu nilikuwa najaribu kukuandikia inahusu nini nikajikuta naandika story yote,nimeamua kufuta tu insha niliyoandika, kuelezea kwa ufupi siwezi
Ila sanasana inahusu lifestyle ya Black Americans nchini Marekani. Ina story nzuri na inahusisha mambo kama bifu na magangster, betrayal, crime, drug addict, mapenzi, rushwa, urafiki( real best friends), politics, art, n.k
Kiufupi ni nzuri labda kagoogle halafu watakuletea kiufupi inahusu nini
Yes hawawezi kuwa perfect. Hapo uko sawa kabisa mkuu mpakuaji apakuee tu, naisubiria old man season 2Kaka Kama uliangalia vizuri kulikuwepo n sniper but before hajafanya yake ukatokea ule mlipuko ,all in all hawawezi kuwa perfect kwa kila sehemu but Ni series nzuri kwangu toka mwaka huu uanze