Kwa upande wangu baridi inaishia sasa, hivyo hata unaweza kuanza kukaa kuangalia TV..
Em nikaribishe na movie moja hapo leo jua limewaka..
Kuna movie nimeangalia juzi kati inaitwa The Last house.. ni movie mpya hapo mjini Netflix
ni 5/10 hivi inafaa kwa kubuy time.
Hiyo familia siku 1 tu from no where milango & madirisha vikajifunga, wakatumia jitihada zote vikashindikana kufungua wala kuvunja. Baadae wakacheck na majirani hali ni moja.. wakaanza kuwasiliana kwa kuandikiana kwenye ubao. Maana hata network ilikata… siku zkaenda vyakula vikaanza kuishia 🥹
Baadae wakajua nje kuna hatari/ kuna jitu si jitu, dudu si dudu na lishaua majirani… mwisho wakabuni mbinu ya kulitega…. Wakaja kufanikiw kutoka nje…