Series (Special thread)

Series (Special thread)

images (31).jpeg

Kwa wapenzi wa Horror hii ni bonge moja la Series.

Season 2 inakaribia kutoka mwezi huu April mwishoni.
 
Snowfall s06 e09 tayari ishatoka, tunasubira e10 tuone kama Teddy alikufa kweli au kulikuwa na uhuni
 
The ark ,ukipata muda icheki Ni tamu sana,it like dunia sio sehemu salama so jamaa wakatengeneza ship ya kwenda sayari nyingine,founder wa hiyo idea anaitwa William trust,before walijua ipo ship moja inaitwa ark 1 but wakati wapo angani wakashambuliwa kuja kugundua kumbe Kuna ship nyingine inaitwa ark 15 then Kuna ark 3 ,Sasa Hawa ark 15 hawataki hizi zingine zifike huko kwenye sayari nyingine ipo episode ya 11 season 1
 
Night Agent ni kazi nzuri na wana idea murua ila kuna matukio hawajaumiza sana kichwa. Mf Peter na Rose yaani wanajua kila kitu, wanaomba msaada kdg sana.

Kuna ile last battle ya mwisho, Peter alitoka nowhere eti tayari kashamteka rais!

Halafu upinzani kutoka kwa wale Special forces/secret services yaani Peter kawapiga wote tena sio kwa mtanange mtata!

Camp David kwenyewe ulinzi haukua kiivo...yaan hakuna hata Thermo detectors!

Matukio mengi easy to predict!

Wafanyie kazi mapungufu, kama kuna SO2 itakua poa zaidi!

Nakubaliana na wewe ndugu,matukio mengi wamefanya rahisi rahisi sana mpaka inapoteza utamu wa kuangalia….Hata rabitt hole nayo matukio mengi wameweka rahisi rahisi sana….mfano jamaa anatafutwa kwa mauji picha yake ipo kila kona mpaka kwenye tv bado anaenda polisi kirahisi rahisi tu na kutoka.
 
Night Agent ni kazi nzuri na wana idea murua ila kuna matukio hawajaumiza sana kichwa. Mf Peter na Rose yaani wanajua kila kitu, wanaomba msaada kdg sana.

Kuna ile last battle ya mwisho, Peter alitoka nowhere eti tayari kashamteka rais!

Halafu upinzani kutoka kwa wale Special forces/secret services yaani Peter kawapiga wote tena sio kwa mtanange mtata!

Camp David kwenyewe ulinzi haukua kiivo...yaan hakuna hata Thermo detectors!

Matukio mengi easy to predict!

Wafanyie kazi mapungufu, kama kuna SO2 itakua poa zaidi!
Ile ya kumteka raisi ndo ilikua mbovu kabisa raisi wa marekani unamteka kirahisi namna ile angalau wangeweka changamoto kidog
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom