Series (Special thread)

Series (Special thread)

Episode 1 ya night agent nimeipenda sijui mbele itakuwaje ila inanipa promise ya kuwa ni series nzuri. Sijaona ushoga humo. Nimeona ladha fulani niliyo ikosa muda mrefu baada ya kina 24, mission impossible blacklist tread stone n.k.

Unanishangaza unapo ikubali homeland na banshee halafu night agent unaisagia kunguni
Ushoga upo kidogoooo saana na sehem ndogo saana
 
Hata kwenye 24 ulikuwemo sema ni kwa sababu nyakati hizo watu walikuwa hawajatilia maanani.
Ni kweli hata kwenye prison break ushoga upo ila ndo hivyo wakat huo walikua bado hawajaanza kudai haki zao
 
Wakuu hii blacklist nipeni link niidownload maana naona telegram s10ep07 mpaka saa hii bila bila
 
Mzigo huo unaachiwa tarehe 20 April, Kikubwa Keri Russell (Elizabeth Jennings) yumo ndani, walioangalia The Americans wanalijua balaa lake.
images%20(33).jpg
images%20(34).jpg


Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom