Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wanaopenda series za wizi wizi na utapeli. Humu ndani yupo Sara na Alex Mahone wa Prison Break.
Screenshot_20230403-175109.jpg
 
I am don with
The night agent series .
ni nzuri na ni tamu wameimaliza vizuri sana kisa kimejengwa kuanzia chini kimekuzwa na kumalizwa vyema kabisa.

inanikumbusha hii

 
Kaka Kama uliangalia vizuri kulikuwepo n sniper but before hajafanya yake ukatokea ule mlipuko ,all in all hawawezi kuwa perfect kwa kila sehemu but Ni series nzuri kwangu toka mwaka huu uanze
Wakosoaji hawakosekani, kikubwa wamejitajidi ni ladha iliyokosekana kwa muda mrefu..
Ngoja tuone season 2 itakuwaje!

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji mwenye 24 ya Jack bour...very good quality na subtle.

Season zote. Awe dar.

Aje inbox....nimetenga bajeti nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom